fidia

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa: Wananchi wa Kigoma wanaongoza kwa kupenda kulipwa fidia na hivyo wanajicheleweshea maendeleo

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wananchi wa Kigoma Ujiji wanapenda sana kulipwa fidia pindi miradi mikubwa ya maendeleo kama Hospitali, bandari na barabara. Majaliwa amesema kwa kufanya hivyo wana Ujiji wanajicheleweshea maendeleo wao wenyewe kwani kulipa fidia ni hisani siyo lazima. Kadhalika...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

    SUMAYE AREJEA RASMI CCM Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) Disemba 4, 2019 alitangaza kuachana na CHADEMA huku akidai alikosea kudhani kuna demokrasia ndani ya chama hicho. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alijtoa CCM...
  3. JamiiForums Tanzania Iran: Nchi zilizopoteza raia katika ajali ya ndege zadai fidia

    Mataifa yaliyopoteza raia katika ajali ya ndege ya Ukraine iliyodunguliwa na Iran yameitaka Tehran iwajibike kikamilifu, uchunguzi wa kimataifa uanzishwe na familia za wahanga zilipwe fidia. Mawaziri wa mambo ya nje wa Canada, Uingereza, Ukraine, Sweden, Uholanzi na Afghanistan wamekutana...
  4. JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike kuboresha mipango miji ya Manzese? Napendekeza walipwe fidia na watimuliwe wote

    Napendekeza nyumba zote za Manzese zifanyiwe tathmini na wamiliki wake walipwe fidia ili kupisha uboreshaji wa mandhari ya jiji, ile takataka inayoitwa Manzese haivumiliki, no way!
  5. JamiiForums Tanzania Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi daraja Kigongo - Busisi

    JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge lakubaliana kuwa Wanaoambukizwa Virusi vya UKIMWI makusudi walipwe fidia

    Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya udhibiti wa Virusi vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI, ambapo pamoja na mambo mengine imeipa mahakama kutoa amri ya fidia kwa mtu ambaye ameambukizwa VVU kwa makusudi Pia, Bunge limepitisha umri wa mtoto kujipima VVU ni 15, huku wabunge wa upinzani wakitaka iwe...
  7. JamiiForums Tanzania Bongo hakuna malipo bila malalamiko!

    Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko. Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…