NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 734
- 365
Mbinu hizo ni
1. Demokrasia
2. Mikopo
3. Haki za Binadamu
4. Kupandikiza Viongozi wa kuwasaidia kuwapumbaza Waafrika wasahau Mateso waliyowafanyia Wazee wetu.
5. Mfumo wa Elimu
6. Kutukuza Lugha zao na Ufadhili wa kusomeshwa.
7. Misaada yenye Mashariti nafuu.
8.Kukudumaza uwezo wa kufikilia ili uone bila Wakoloni hakuna unaloweza kulifanya.
9. Propaganda ili mfikilie kuyamaliza msahau kudai utajili wenu waliouiba.
N.k
Vijana tushtuke, kwani kwa sasa tuna Rais Mtendaji, Tunawanasheria waliobobea, tuna wataalam wa uchumi na siasa, n.k
Kwa Pamoja tuandike andiko la kudai utajili wetu waliotuibia toka kipindi cha Triangular Trade up to now.
Bila kudai hayo kipindi tuna Rais ambaye anathubutu kufanya siamini kama tutaweza kufanikiwa kipindi kama tutakuwa na Viongozi wa kariba ya kujipendekeza kama akina Ayatora wa KGM.