fidia

  1. O

    Russia Deal Turns Bitter ,Hakuna Fidia kwa Wakenya

    Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi ameibua mjadala mzito baada ya kufichua kuwa serikali ya Kenya iko kwenye mazungumzo na serikali ya Russia kusaidia kurejesha Wakenya wanaodaiwa kupigana vita upande wa Urusi. Akizungumza na Citizen TV leo, Mudavadi alisema kuwa hali ni mbaya zaidi...
  2. Bawabu wa pili

    Boda aliyegongwa na Mwendokasi kulipwa Milion 88 kama fidia

    Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh. milioni 88.8 Frank Zebaza, baada ya kugongwa na basi la mwendokasi, ambapo pia imebainika kuwa Dereva Hafidhi Ally alikuwa akiendesha basi hilo kwa mwendo hatarishi ambaye pia...
  3. ndege JOHN

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu fidia ya vita

    Nani anayeamua kwamba upande fulani ndo umlipe upande mwingine wakati wote wameumizana ma kutiana hasara.. Kwa mfano sasa hivi kwenye vita ya Ukraine na Urusi je wanajua kabisa kwamba mwishoni kuna mmoja inatakiwa amlipe mwenzake fidia. Na je nchi moja ikigoma kumlipa fidia mwenzake hatua gani...
  4. funaku

    Rais wa Marekani Donald Trump aishtaki BBC akidai fidia ya Dola Bilioni 10

    Rais Donald Trump amefungua kesi ya kashfa dhidi ya BBC katika mahakama ya shirikisho ya Miami, akidai fidia ya hadi dola bilioni 10. Trump anaituhumu BBC kwa kuandaa makala ya Panorama iliyoonyesha kauli zake za Januari 6, 2021 kwa namna iliyohaririwa vibaya, na kufanya ionekane kama...
  5. PAYE

    Video: Mama huyu apigwa hadharani baada ya kugombania eneo la biashara na kudaiwa alipe fidia

    Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu. Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
  6. Ngungenge

    Tutarajie hukumu: je ni onyo Kali au fidia..?

    Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho. Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu zilizotolewa hazijakidhi Matakwa ya kisheria pia pande zote mbili wameshindwa kumaliza nje ya uwanja...
  7. M

    MTIHANI; BAADHI KIPUNGUNI A HAWAJALIPWA FIDIA YA ARDHI. UCHAGUZI HUU HAPA

    Hili la Kipunguni kutolipwa fidia ya ardhi zaidi ya miaka 20 linafikirisha sana. Wananchi wanalipwa kwa awamu na kimakundi kidogo kidogo sana.Kulikoni! Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki CCM ingepata shida sana Kipunguni. Hili serikali limalizeni.
  8. Godoro la kioo

    Ukifungwa halafu ukabainika huna hatia je. Unalipwa fidia

    Salami wakuu, Kuna swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu Hivi ikitokea ukapelekwa gerezani kwa tuhuma labda hata ya wizi au ubakaji then baada ya kukaa gerezani Kama mwaka ikaja kubainika kuwa wewe sio mhusika kwa maana nyingine ulibambikiwa kesi Je. Kuna fidia yoyote unayopewa ukizingatia...
  9. U

    Tunaomba wakili Katuga, jembe la Samia, apewe kesi zote za kimataifa, hatutalipa fidia tena

    Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na...
  10. Desierto

    Umewahi kuhama na kuacha vitu ndani kama fidia ya kodi uliyokuwa unadaiwa?

    Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
  11. Bibianna

    Dkt Batilda: Bomba la mafuta la shilingi trilioni 12.5 la Uganda Tanga limelipa fidia ya TZS9.4 watu 800 wanaajira za kudumu Tanga mambo ni safi

    Akiongea mbele ya wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga amesea, Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline – EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Bandari ya Chongoleani, Tanga, ni moja ya miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa kwa ushirikiano wa...
  12. Mwislam by choice

    Serikali ya Zanzibar Yashindwa Kulipa Fidia kwa Nyumba Zinazotakiwa Kupisha Barabara – Maendeleo Yakwama

    Ndugu wanajamvi, Napenda kuibua hoja kuhusu jambo linaloumiza wananchi wengi – suala la kutolipwa fidia kwa nyumba zinazotakiwa kupisha upanuzi wa barabara visiwani Zanzibar. Mfano halisi ni barabara ya kuelekea Paje (Unguja Kusini). Kuna nyumba moja imebaki katikati ya ujenzi wa barabara, hali...
  13. Sky Eclat

    Wanaharakati wa Kenya na Uganda walioteswa wakiwa Tanzania wanadai fidia ya US$1 million kila mmoja wao

    Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni Marisa wa vyombo vya usalama. Waliteswa sana na mwisho walitupwa kwenye mipaka ya nchi zao...
  14. R

    Mange Kimambi na Msanii Aslay wafikishwa Kortini, wadaiwa fidia Billioni 5

    Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini, wakidaiwa fidia ya Sh5 bilioni. Katika hati ya madai, Mange anatajwa kuwa mkazi wa Los Angeles...
  15. kidonto

    Godbless Lema fungua Kesi ya kudai Fidia, kuna Bilioni 3 za wazi

    Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti. Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page imepost Facebook inakwenda Kwa jina la Macdee Mackeja Shilinde. Nadhani utakua umeiona Wafungulie...
  16. Waufukweni

    Wafanyabiashara Kariakoo wadai fidia TSh. bilioni 40 jengo kuporomoka

    Wakili Peter Madeleka leo amezungumza na vyombo vya habari katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam – Divisheni ya Ardhi, kuhusu kesi ya wafanyabiashara waliopata hasara kubwa kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa lililokuwa katika eneo la Kariakoo. Kesi hiyo...
  17. funaku

    Paul Makonda:Arusha yapewa bilioni 42+ Kulipa fidia mbalimbali ili kuboresha miundombinu Arusha

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Cristian Makonda ameainisha kuwa jumla ya Shilingi bilioni 42 na zaidi zimetolewa na Serikali kuu kuhakikisha fidia mbalimbali kwa ajili ya kuboresha miundombinu mkoani humo zimetolewa kuondoa malalamiko ya wananchi. Hili sio jambo dogo.
  18. Just Pray

    Waathirika ghorofa lililoporomoka Kariakoo wafungua kesi mahakamani kudai fidia

    Waliokuwa wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo...
  19. Carlos The Jackal

    TEC iwachukulie hatua WASAFI MEDIA MARA MOJA Kwa kupotosha kimakusudi Maneno alosema Kardinali Rugambwa huku wakitumia Picha ya RAIS WA TEC!!

    Ndugu zangu katika Kristo YESU. Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno. Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII. Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya...
  20. BigTall

    Baba aitaka Hospitali ya Aga Khan imlipe fidia ya Tsh. Bilioni 1.2 baada ya mtoto wake kukatwa mguu

    https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam imlipe fidia ya kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2 kutokana na madai yake...
Back
Top Bottom