Kwenye wimbo wa Msanii Fareed Kubanda "Fid Q" aliyoitoa hivi karibuni kama zawadi ya Birthday yake ya Mwaka 2025 ina maneno kadhaa yenye ukakasi?
Kwenye ngoma inaitwa History
Mstari mmoja amesema
"Mtaani hali ni mbaya ila tunakaza tu kiubishi, Siasa zimetufunza kufunga mdomo ili tuishi"...
Leo Agosti 13 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rapa maarufu Fareed Kubanda, anayejulikana kama Fid Q akiwa amefanikiwa kutoa albamu kadhaa ikiwemo Propaganda, Roho, Kitaaolojia, na Mbinguni.
Machi 16, 2020, akizungumza kupitia kipindi cha Salama Na Fid, kilichokuwa kikiwaendeshwa na Salama Jabir...
Katibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fid Q amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania.
Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa.
Pia kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Hili bifu limemtafuna Fid Q kwa muda mrefu na wimbo wa usiulize ndio diss track namba moja Tanzania ukimlenga moja kwa moja Fid Q
Je kuchelewa kujibu kwa Fid ni uoga au alikosa muda? amekosea timing au ndio wakati wake?
upande wangu nasubiri comeback kutoka kwa rado
Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka na hiyo inamaanisha unaamua maisha yako ya sasa na ya baadaye.
Anasema unaposhiriki Kupiga Kura...
Faridi Kubanda amejijengea heshima kubwa kwenye muziki wa HipHop Tanzania. Ni mmoja kati ya watu waliowa-influence wadau wengi wa muziki huo.
Mimi napenda muziki ila nasikiliza zaidi hiphop. Na baadhi ya masihi ya Fid Q yalifanya nione wabongo wanaoishi nje ya bongo hawathaminiani kabisa...
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za
1. Prof. Jay, AY & Chid Benz
2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini
3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
Fid Q namkubali sana kwa barz.
Leo baada ya kupiga mitungi nikasema nisikilize ngoma za Fid Q na Joh makini.
Lakini katika nyimbo zilizo nivutia katika mzuka ni hizi hapa.
Fid Q wimbo walk it off
Joh makini nusu nusu.
Nikasikiliza midundo inafanana kimzuka.
Lakini katika barz asee niseme...
Baada ya kuombwa kufanya collabo na msanii huyo amaye ni lead dancer wa Marioo, hatimaye moja kati ya MC's Bora kabisa wa Hip Hop Tanzania, FID Q ameamua kushiriki kwa nguvu zote katika collabo hiyo.
Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani...
Hello bosses and roses,
Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya.
Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV...
Habari wakuu,
Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI.
Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka track tunapita nayo.
Song: Siri ya mtungi
Fid Q ft Juma Nature
Verse no: 1
Nilipotoka...
Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla.
The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa zaidi, nyimbo zake ziko professional sana. Mpaka sasa hakuna Rapa mkali kama FID Q, hao wengine wana...
Jamii Hip #0p wozaa
Nadhani sina haja ya kusema mengi kwani kuna baadhi ya mambo yanafanana na utani. Mambo yenyewe ni msanii kulalamika kuibiwa mistari. Msanii ni mtu muhimu sana katika jamii yeye anafanya kazi sawa na watu wa dini na mizimu kwa namna yake. Mtu msanii hutumiwa na jamii kama...
Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini.
Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji.
Wasanii Wameonekana kutokua...
Kwema Wakuu
Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri.
Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
Wakuu kwema?
Hivi huu mstari hapa chini unapatikana kwenye ngoma gani ya FID Q. Msaada kidogo.
"Kipaji kama Ngwea, bahati mapande aliwagea, ilikuwaje waache ulaji wa majani ukamuelemea"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.