fedha

  1. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  2. JamiiForums Tanzania Wakitoa fedha ni wafadhili ila wakikosoa ni mabeberu!

    Kichwa cha habari kiko wazi juu ya ugeugeu na uzabazabina wa watawala wetu. Sijui nyie mnasemaje?
  3. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Ulaya yakataa kuidhinisha fedha za Russia zilizokuwa frozen kwa ajili ya kusaidia Ukraine

    Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo. Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu, serikali ya Tanzania kukopesha fedha mwanafunzi anaeanza chuo na kumnyima mkopo aliyemaliza chuo

    Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
  5. JamiiForums Tanzania Imekuwaje fedha sasa si za Samia bali za Watanzania wote?

    Tulizoea kuwasikia machawa wakisema Samia katoa hiki, katoa kile kana kwamba ilikuwa ni fedha yake na si yetu. Baada ya kubao kugeuka, sasa wanaramba matapishi. Wanatuhadaa kuwa pesa ni yetu wakati ni ya Samia. Ina maana hawakujua kuwa tunajua kuwa ni pesa yetu ndiyo wanatumia kujineemesha na...
  6. JamiiForums Tanzania Pendekeza hapa Watu wa kuwekewa vikwazo vya Kusafiri na Fedha na Umoja wa Ulaya

    Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao. Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine 1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale...
  7. JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

    Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary. Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba. Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania walihitaji kuwa na CHADEMA kama hii. Inapaswa ichangiwe fedha ili shughuli za ukombozi zifanikiwe

    Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane. Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao. Soon ukombozi utapatikana by any means necessary. Watu laki tano tukichanga kila mmoja 1000 ni pesa zitazowezesha ukombozi kupatikana
  9. JamiiForums Tanzania Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha

    Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao Je wanafanyaje? Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha Wanapokuwa katika Ibada...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Idara ya Uhamiaji: Taarifa za kuwanyang’anya Raia walipo nje ya nchi wanaporejea Pasipoti na fedha ni uzushi

    Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Napendekeza Uundwe Mfuko Maalumu wa Kuchangia Fedha Familia zilizopoteza ndugu zao au Walijeruhiwa Kwenye Maandamano ya 29/10/2025

    Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
  12. JamiiForums Tanzania JWTZ, Msiache kuitazama Wizara ya Fedha na Benki Kuu. Watakuwa wanachota hela in a panic Mode

    Kati ya Maeneo ya kutizama sasa ni Benki Kuu, Benki za Biashara na Wizara ya Fedha. Naomba Jeshi letu mzuie utoroshwaji na uchotwaji wa fedha zozote zile kwenye hizo Taasisi Msisahau kuwakamata na kuwaweka kizuizini Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Mkurugenzi wake na Makamishna wote.
  13. JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje galasa mpenda fedha ataisaidia nini CCM?

    Kwa CHADEMA ya Lissu ambayo haipendi wanaolinda matumbo yao kuliko maslahi ya umma. Wenje kuondoka CHADEMA kuna hasara gani?
  14. JamiiForums Tanzania Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Kama huna nidhamu ya fedha kamwe usifanye hii biashara

    Angalia picha hapo. Sina haja ya kuelezea zaidi. Cha muhimu KAMA HUNA NIDHAMU YA PESA KAMWE USITHUBUTU KUFANYA HIYO BIASHARA.
  16. JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  17. JamiiForums Tanzania Miamala ya fedha za kigeni Tanzania kwa njia ya Kadi za simu (Foreign Exchange Mobile Transaction)

    Habari Tanzania ! Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini. Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au...
  18. JamiiForums Tanzania Zuchu alalamikia kutolipwa Malipo yote tamasha la CHAN 2024

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu amesema licha ya kutoa burudani bora kwa mujibu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Huduma Mpya za Maduka ya Kubadilisha Fedha: Usalama na Maswali ya Gharama

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia kanuni zake mpya za mwaka 2023 imefungua ukurasa mpya katika biashara ya kubadilisha fedha za kigeni. Kwa mara ya kwanza, maduka ya kubadilishia fedha yameruhusiwa kufanya malipo kupitia akaunti za benki, hatua inayolenga kuongeza usalama wa miamala na...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamua Mfanyabiashara arejeshe fedha ambazo hakuziwasilisha TRA

    MAHAKAMA ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai ndani ya miezi 6 baada ya Kutiwa hatiani kwa Makosa ya Kutokulipa Kodi Kinyume na Kifungu cha 83 cha Tax Administration Act, Kughushu kinyume na vifungu vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…