fedha

  1. JamiiForums Tanzania VUDEO: Ni uchunguzi gani ili mtu ajue kuwa huu ni wizi mtupu kwa jina la "malipo ya posho ya.....??"

    Hii kitu kama kweli imefanyika Wizara ya fedha - HQ, basi tuna tatizo kubwa sana na usalama wa fedha ya umma chini ya watu hawa... Waziri wa fedha kwa sasa ni Mwigulu Chemba. Kwa takwimu hizi za wizi huu wakati unafanyika zinazotolewa na PM, Mwigulu alikuwa hajawa Waziri bado... Wakati huo...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi nyingi zimeanza kulalamika kuhusu mining Bitcoin kwenye matumizi umeme

    Leo bbc imetoa ripoti huko nchini wingereza kukamata mtu ambaye alikuwa mwizi wa umeme kwa ajili ya kuvuna bitcoin. Bitcoin inakadiliwa kuwa inatumia vifaa vya graphic card kubwa ambazo zinafanya utendaji mkubwa wenye nguvu kubwa ya umeme ikiwa na GPU kubwa. Kuna nchi zina lalamika kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira wizara ya fedha

    Habari wadau..! Leo nimeona nisikae kinyonge niombe kazi hapa JF,maana nimesikia watu wanalipana 100milion kwa siku nchi hii. Sasa na mm naomba mwenye koneksheni ya wizara ya fedha tupeane natafuta kazi hata ya kufagia, tukale wote keki,Cv yangu ipo poa tu nina PhD ya wanyamapoli😂😂😂
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ni kivipi Serikali itajiwajibisha Kwa upotevu wa mabilioni ya fedha kuhamia Dodoma kumbe ni geresha?

    Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
  5. JamiiForums Tanzania Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

    Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi. Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Charles Kimei: Serikali itakuwa tayari kurejesha Kodi iliyokusanywa kwa shinikizo? Mwigulu amjibu

    Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la kujipatia faida zinatakiwa kusajiliwa na TRA kama wafanyabiashara wengine na kulipa kodi ya mapato...
  7. JamiiForums Tanzania Tulinganishe: Mgawo wa fedha kwa kila timu ligi kuu uingereza 2019/2020

    Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20 Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu (573,931,663,578.00 tshs) na aliyeshika mkia yaani Norwich City alipata euro 94.5m sawa na bilioni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Warioba: Tulipoingia madarakani na Rais Mwinyi mwaka 1985 tuliikuta nchi haina fedha za kigeni!

    Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu mzee Sinde Warioba amesema mzee Mwinyi alipoingia madarakani kama Rais mwaka 1985 na yeye kuwa msaidizi wake walikuta nchi haina kabisa akiba ya fedha za kigeni. Warioba amesema hii ilitokana na ukweli kwamba nchi ilikuwa imetoka kwenye vita ya Kagera pia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai akerwa na tabia ya Serikali kuchukua fedha za halmashauri bila taarifa, ataka mfumo wa " less government" utumike nchini!

    Spika wa bunge mh Ndugai amesema anakerwa sana na kitendo cha Serikali kuchukua fedha za halmashauri bila taarifa na kwenda kuzitumia huku miradi ikidorora. Ndugai amesema haoni mantiki ya Serikali kuchukua fedha ambazo hazijatumika kila ifikapo June 10 bila kujali kwamba kuna miradi inakuwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya Ole Sabaya akiomba hela kampuni binafsi kusaidia CCM - 2019

  11. JamiiForums Tanzania Swali kwa Ayubu Rioba: Siku hizi sera ya Taifa inaruhusu taasisi za kidini kunufaika na fedha za walipa kodi kupitia TBC?

    Dk. Ayub Chacha Rioba, Mkrugenzi Mtendaji wa TBC Kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Tanzania, swali hapo juu linatokana na bonde la ufa lililopo kati ya yale ninayoyaona, na yale ninayoyatarajia kuhusiana na uendeshaji wa TBC. Kwa hiyo, kwa kuzingatia mfumo wa hoja yenye muundo wa OPHETAR...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  13. JamiiForums Tanzania Ni muhimu shuleni likafundishwa somo la fedha na biashara kama hali ilivyo huku kitaa

    Uongo mbaya, shuleni mtu unaweza fika Form Six au chuo lakini kupambana na maisha mtaani mtu wa darasa la saba akakuacha mbali kabisa. Kama elimu haimfundishi mtu kupambana na maisha yake ina faida gani? Haiingii akilini mtu asome hadi form six miaka 13/14au hadi chuo miaka 16/17 halafu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

    Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuulizana tena kwanini fedha nyingi huingia kwenye matumizi kuliko Miradi ya Maendeleo

    ANASA ZIMERUDI? Bashir Yakub. Ukumbi wa Mlimani City ukitengwa kwa watu 900 gharama ni Tshs 36,000,000/= bila chakula na vinywaji. Gharama ya dawati moja zuri ni Tshs 80,000/=. Kwa Tshs. 36,000,000/= tunapata dawati 450,000. Kwa dawati linalokaliwa na wanafunzi wawili jumla ya wanafunzi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

    Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600. Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri. Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini. https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
  17. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni orodha ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22

    Kama title nilivyoiweka hapo juu sina muda wa kupoteza. Serikali wekeni list ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22. Wekeni hata kwa check number tu ili kulinda falagha maana kuna watu wana roho za kichawi, wakiona jina langu kuwa liko kwenye list wataanza kunichawia. Kama...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

    Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini. Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
  19. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ahoji kwanini pesa zinakwama Wizara ya Fedha. Amtaka Waziri kujiandaa akisema "Siku ya Wizara yake nitakamata shilingi mwenyewe"

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe" Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati Bunge likijadili Hotuba ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Makamu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…