Badiliko hili limelenga kuwasaidia babu na bibi kupata nafasi ya kulea wajukuu na kuwezesha idadi ya watu kuongezeka. Wengi wanaofanya kazi wanapata changamoto za gharama kubwa ya malezi ya watoto, jambo kinalopelekea wengi kuamua kutozaa.
Kwa badiliko hili jipya, ukifikisha miaka 63 unaweza...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo
Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi...
Kama kuna Kitu ambacho bila Unafiki au Sanifu au Kukudanganya nakipenda Kwako ni Uwezo wako mkubwa wa Maarifa uliyonayo hasa juu ya Fani yako na Exposure ya Wastani.
Ila Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kama kuna tatizo Kubwa ulilonalo ni la Uwasilishaji wa Jambo katika Public (...
Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha.
Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo zinazowaumiza kila kukicha . Kumekuwa na kupiga kwingi kwa kelele katika vyombo vya habari huku wizara ya...
Fedha za pensheni ni malipo anayopewa mwajiriwa (mfanyakazi) baada ya kustaafu kazi/ajira yake. Huwa ni fedha nyingi ukilinganisha na fedha ambazo huyo mfanyakazi/mwajiriwa aliwahi kumiliki hapo kabla.
Wastaafu wengi kutapeliwa
Hivi karibuni kumezuka matukio mbalimbali yakiwahusisha wastaafu...
Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?.
Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia.
Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora.
GSM yupo kufanya...
Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
Wizara ya Fedha mmefanya jambo jema na la kupongezwa kwa kuanzisha utaratibu wa watumishi wa umma kupata salary za kila mwezi online kupitia salary portal. Hii ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zilipokuwa zinatolewa na Hazina na kisha kusambazwa kwenye idara,wizara na taasisi za umma au...
Mahakama nchini Urusi ilitoza kampuni za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha rubles milioni 36 (Bilioni 1.1) kwa "kukiuka sheria ya habari ya kibinafsi".
Kesi zilizowasilishwa na Wakala wa Teknolojia ya Habari ya Shirikisho la Urusi na Wakala wa Usimamizi wa...
Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi!
Hii hali haikomi?
Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za kupambana na janga la Covid-19.
.
IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza...
UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM)
Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo.
Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama...
Makala ya tatu
Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea.
Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako.
Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;-
• Akiba
• Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi
• Mikopo kutoka...
Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana).
Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
mfumuko wa bei
doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Fedha ya Mtandao(Cryptocurrency), Liquid Global ya Japan ambayo ni moja kati ya fedha 20 za mtandao zinazotumika zaidi, imedukuliwa na dola milioni 100 zimeibwa ambazo ni sawa na takriban Tsh. Bilioni 323.
Huu I wizi wa pili mkubwa baada ya ule uliohusisha wadukuzi wenye nia njema kuiba dola...
Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa.
Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
Habari za asubuhi watu wa Mungu nyie siyo watu wangu :cool: :cool:
Leo nimewaza sana kwamba kuna vitu fulani au tabia fulan tunazo maishani zinatufanya tutumie hela rafu na kujikuta mwaka unaisha maisha yako yapo kama ya mwaka uliopita. Kuna baadhi ya mambo yanapelekea tunatumia fedha kidogo...