fedha

  1. JamiiForums Tanzania ACP Kingai ni vyema na haki ikiwa utarejesha Tsh 260,000 fedha za mtuhumiwa wa ugaidi

    Wakuu wote heshima sana. Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu. Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

    Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana, nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili, #Twende na Samia Had 2035#inshallah"
  3. JamiiForums Tanzania Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi

    Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu Fedha (Financial Literacy) itawakomboa watu wengi kiuchumi

    Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja. Nitaanza kwa kufafanua elimu fedha ni nini, kuna...
  5. JamiiForums Tanzania FBI yataifisha fedha za watu kutoka banki ila waliothibitisha uhalali wake mahakama imeamuru warudishiwe haraka sana

    After the FBI seized Joseph Ruiz's life savings during a raid on a safe deposit box business in Beverly Hills, the unemployed chef went to court to retrieve his $57,000. A judge ordered the government to tell Ruiz why it was trying to confiscate the money. It came from drug trafficking, an FBI...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe apendekeza TANESCO wauze hisa(20%) fedha itakayopatikana ilipe madeni, Waziri Makamba atoa maagizo

    Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika. Kipele kimepata mkunaji, anasisitiza Zitto Kabwe katika page yake ya twitter. Waziri January...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

    Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF. Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali imeahidi shirika la Fedha Duniani, IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za wagonjwa wa covid na vifo kila wiki kuanzia mwishoni mwa Septemba

    Serikali ya Tanzania imeahidi shirika la fedha Duniani la IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za vifo na maambukizi mapya ya ugonjwa wa covid 19 kila wiki kuanzia mwishoni mwa mwezi Septemba 2021 kama masharti mojawapo ya kupewa mkopo. Serikali iliomba mkopo wa zaidi ya Dollar Milioni 500 za...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ibadili hela ili watu watumie taasisi za fedha

    Bado inaonekana kuna hela za kitanzania zimefichwa nje ya mfumo wa mabenki. Hiv serikali haiwezi kuamua kuprinti aina mpya noti za 10,000/= na 5,000/= ili ilazimishe watu kwenda benki kubadili kwa sharti la watu kuwa na account hasa kwa wenye kubadili kiwango flani cha fedha.
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Akili na ubunifu ndio mtaji mkubwa kuliko fedha

    AKILI NA UBUNIFU NI MTAJI MKUBWA KULIKO FEDHA Habari za muda huu wanajamii forum leo katika jukwaa hili la story of change nina mada ninayoiwasilisha kwenu naombeni muipokee na ikaweze kubadilisha au kuongezea kile mlichonacho. Kwanza kabisa nianze na hadithi fupi kisha tuendelee na mada yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

    Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri. Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa kidiplomasia, anaingia bungeni kipindi ambacho Taifa halina Waziri wa Ulinzi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ya Fedha kwa vijana ndio siri ya Mafanikio

    Asilimia kubwa ya vijana waliokuwa katika mifumo rasmi ya Elimu hutumia takribani muda wa zaidi ya Miaka 17 kutumikia katika ngazi tofauti tofauti za elimu zao lakini ndio kundi kubwa la watu ambao wenye elimu ya vyeti lakini ubunifu na maarifa madogo katika kukabiliana na changamoto mbalimbali...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Eng. Masauni ajitokeza kwenye vyombo vya habari toka ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Fedha, kweli reshuffle imekaribia

    Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya. Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri. Kipindi chote...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni walioporwa fedha na mali zao warudishiwe

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.” Pia, soma: Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akamatwe kwa kuchezea Fedha za walipa kodi

    Hii nchi tunashindwa tuiweke kundi gani, kundi la masikini au tajiri? hivi huu ufujaji wa hela mnauelewa kweli yaaani stars kushinda mechi moja tu hata bado haijafudhu waziri anatoa hela anagawa kwanini usitoe zako mfukoni, haya mambo ndio yanafanya tuendelee kukwepa kodi na tozo
  16. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili: Vyama vya siasa vingi haviweki fedha benki, hii ni kinyume cha sheria

    Naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema katika uhakiki wa vyama vya siasa unaoendelea nchini wamegundua vyama vingi havihifadhi fedha za chama benki badala yake wanatumia njia za kienyeji kuhifadhi mapato ya vyama vyao. Nyahoza amesema sio utaratibu wa kisheria na amevitaka...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa mabilioni ya fedha sekta ya anga, elimu, mradi wa SGR na bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere

    RAIS SAMIA ATOA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA ANGA, ELIMU, MRADI WA SGR NA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWALIMU NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan aendelea na utekelezaji wa ufunguaji na ukuzaji wa uchumi wa Tanzania kwa kutekekeleza miradi ya kimkakati kwa kasi...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

    Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

    Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu." Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Wizi wa Fedha za Umma: Mapendekezo ya Hatua za Kuchukua

    Tanzania ni moja kati ya nchi masikini Duniani kwenye kundi hilo tupo na Burundi, Sudan Kusini, Niger, Msumbiji pamoja na nchi nyingine nyingi. Nchi hizi masikini Duniani zina sifa zinazofanana ambazo ni kama vile kuwa na vita, njaa, ufisadi, miundombinu mibovu, huduma mbaya za afya,elimu duni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…