fedha

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock. Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
  2. JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  3. JamiiForums Tanzania Malengo ya sera ya fedha 2022/23 kwa mujibu wa BoT

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuongeza ukuwaji wa uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei kati ya 3% - 5% kwa 2022, licha ya kuwa na matatizo mengi nje ya nchi kama vita vya Ukraine na Urusi na kupanda kwa bidhaa kwenye soko la dunia ambayo yanaweza kudhuru ukuwaji wa uchumi wetu na kupelekea...
  4. JamiiForums Tanzania Shule iliyonufaika na fedha za Uviko-19 yaingia 10 bora

    Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uviko-19 baada ya kuzipeleka kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini badala ya kununua vifaa vya kujikinga na janga hilo. Fedha hizo shilingi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tunaomba turudishiwe fedha zetu za maombi kutokana na ugawaji wa viwanja kwa upendeleo jijini Mwanza

    Ni masikitiko makubwa kuona upendeleo wa dhahiri wa ugawaji wa viwanja katika Jiji la Mwanza. Wote tulitangaziwa kuomba viwanja hivyo kwa ada ya Tshs.20,000 kwa kila kiwanja lakini cha kusikitisha waliopata viwanja ni vigogo ambao hata hawakufika kuchukua fomu na kuzijaza. Hivi ni kweli mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  7. JamiiForums Tanzania TRA yakusanya Trilioni 22 mwaka wa fedha 2021/22, Nauliza tena Nani kama Samia?

    Hakuna bunduki, hakuna vitisho na kwa mara ya kwanza , mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya Trilion 22.28 . Nani kama Samia?
  8. JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba, kuna fedha za miradi mipya ya umeme zimepitishwa bajeti 2022/2023 kwa kila Tanesco mikoa. Fedha hizo zifike mkoani mapema

    January Makamba , Waziri wa Nishati. Tunakuomba usikie kilio cha wananchi na kauli ya Rais ya kazi iendelee. Kuna fedha za kufanya miradi mipya ya umeme kwa kila mkoa ulizitenga na kuzipitisha kwenye bunge bajeti ya 2022/2023. Tunakuomba tuko chini ya miguu yako tunasali ili fedha hizo zifike...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali itabadilisha lini saini ya Waziri wa Fedha kwenye noti?

    Kama mnavyojua aliekuwa Waziri wa Fedha kipindi hicho ni Dkt. Mpango na kwa sasa ni Makamu wa Rais hivyo noti za fedha zilikuwa na saini yake akiwa kama Waziri, kwa sasa Waziri Ni mwingine je! Kwanini saini ya Waziri husika isiwekwe kwenye noti? Mpaka sasa akija mgeni asiyejua au mtoto anaenza...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Nchemba: Nchi inayoendelea lazima ikope

    NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE "Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Kuna nchi masikini hazina madeni na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinachochea dai la “mtego wa madeni” huku kihalisia fedha zikifika nchi hizo kutoka Afrika

    “Madeni mengi yanayozikabili nchi za Afrika yanasababishwa na mashirika binafsi ya nchi za Magharibi, na hawa wakopeshaji kutoka New York, London, Frankfurt n.k wanataka madeni hayo yalipwe ili mali za nchi za Afrika ziendelee kumiminika Amerika Kaskazini na Ulaya, na wala sio China.” Hivi...
  12. JamiiForums Tanzania Fedha za Elimu Bure tangu Mei 2022 zimepotelewa wapi?

    Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi. Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

    Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC.... Tsh Milioni 500 za Azam Tsh Milioni 100 za NBC Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba awa Waziri wa Fedha wa kwanza kuingia na msafara huu Bungeni

    Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr...
  15. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yachambua Bajeti ya Taifa, wamtaka CAG akague matumizi ya Tozo na Fedha za Covid 19. Zanzibar ilipwe Madai yake yote

    Chama cha ACT Wazalendo kimekutana na Waandishi wa habari na kuichambua Bajeti ya Serikali. ACT Wazalendo wamtaka CAG akague matumizi ya Tozo na Fedha za Covid 19 Pia ACT Wazalendo wamtaka serikali ipunguze kukopa Pia ACT wazalendo wataka Zanzibar ipate mgawo wake wa mapato ya Muungano...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Hotuba ya Bajeti za Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda 2022/2023 tafadhali

    Jamani wananzengo. Naomba mwenye hizo documents namuomba ikiwezekana atuwekee hapa au anipe hata inbox nitashukuru sana.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

    Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo. Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kiswahili kitumike katika usaili wa Watumishi Serikalini

    Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili. Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Ukitenguliwa kwenye nafasi za kuteuliwa urejee mshahara ule wa awali kabla hujateuliwa

    Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa. Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia Hassan kuhusu HESLB kuondoa fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field)

    Kwako Mheshimiwa:- Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA. Mheshimiwa, Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…