MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Geita imewahukumu raia wa kigeni kutoka China 32 akiwamo Mkurugenzi wa Mgodi wa Eagle Brand Limited kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Sh. milioni 591.22 kwa makosa manne.
Hata hivyo, washtakiwa hao walilipa faini na kuachiwa...
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.
Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela.
Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.