faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

    Tangu Urusi aivamie Ukraine Feb 2022 ni miezi 15 sasa, kuna mengi tumeona na kusikia kwa kila upande katika uwanja wa vita. Kuna maeneo matano (5) ambayo Urusi na Ukraine wameyafanya kuwa ni ngome za mapigano. Miji hii ni Bakhmut, Soledar, Avdiivka, Kreminna na Vuhledar. Katika miji hii...
  2. I

    UTAWALA kimajimbo una faida/madhara gani. Tuchambue ili watu waelewe

    Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo. Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu. Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu. Please tujadili faida na madhara yake humu. NAWASILISHA.
  3. Zijue faida za mafanikio ya Yanga kubezwa

    Nimemsikia Ahmed Ally akibeza mafanikio ya Yanga kwamba imekutana na vibonge kwa hatua zote alizopita,swali ambalo semaji la CAF hawezi kujibu ni kwamba je Yanga imebeba ubingwa wa NBC Simba akiwa wapi?(Ambayo ni timu imara na giant zaidi ya Yanga?) Achana na hilo swali utapigwa makofi. Wapo...
  4. J

    Mawaziri hawa wanalindwa kwa faida ya nani?

    Tatizo kubwa la waziri wa f edha dk. mwigulu nchemba na waziri wa viwanda, dk. ashatu kijaji lina sababishwa na rais mwenyewe kwa maoni yangu. Unawezaje kukaa na waziri ambaye alishawakashifu watanzania wote na kuwataka wahamie Burundi na hata wawakilishi wao kukashifiwa kuwa ni waganga wa...
  5. Kifo cha mwanafunzi Nusura; VC wa UDOM Kusiluka unadanganya kwa faida gani?

    UDOM ni chuo kichanga kilichojaa vituko vya maadili mabovu. Maadili mabovu kwa waalimu na watumishi wengine hadi kufikia VC na DVC wake kuwa ni watu wa hovyo hovyo tu! Kumefanyika mabadiliko ya uongozi na huyu anayeitwa Kusiluka ndo VC wa chuo aliyeletwa ili chuo kibadilike. Ni wazi sasa VC mpya...
  6. Dkt. Musukuma: Hereni kwa ng'ombe zina faida gani?

    Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo. Musukuma amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyoomba kiasi cha...
  7. B

    Mjema: Ziara ya Chongolo na Ujumbe wake nchini China italeta Wawekezaji na faida nyingi sana kwa Taifa

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamefanya ziara ya takribani siku 10 nchini China iliyoanza Aprili 17, 2023 na kutamatika Jana Aprili 28, 2023. Chongolo aliambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema, Katibu wa Oganaizesheni...
  8. Ni nini faida za kuwa na Uraia Pacha?

    Habari za wakati huu, Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Uraia Pacha kwa Watanzania na watu wengine ambao wanahitaji kuwa na Uraia Pacha. Hili ni swala ambalo linahitaji mjadala wa kina, lakini je, ni zipi faida za Uraia Pacha? Mimi leo nataka nizungumzie zaidi faida za Kiuchumi...
  9. Uwongo huu Usiovumilika wa Gazeti la MWANASPOTI una Faida gani kwa Wasomaji na Wenye Akili

    Katika moja ya Habari Uza yao ya Leo wameandika Kipumbavu kuwa Thamani ya Mchezaji wa Yanga SC aitwae Yanick Bangala inainunua Klabu nzima ya Rivers United FC ambayo Wanacheza nayo leo Jioni. Nilidhani miaka ya nyuma hapa hapa JamiiForums nilipoanzisha Uzi wa Kuwasema Gazeti la MWANASPOTI (...
  10. Waziri Ndalichako unapata Faida gani Wastaafu kulipwa Kikokotoo?

    Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
  11. J

    Nifanyeje kwa mtaji wa 150k nipate faida ya 100k ndani ya muda mfupi?

    Wazee kama mada inavyojieleza, hapa nina kiasi taslim 150k ila nina uhitaji wa 250k, Je, ninaweza kufanya nini ili kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi? Nipo mkoa wa Manyara. NB; Sitaki habari ya betting
  12. Faida za Omega 3 Fat Acid mwilini

    ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake. Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3) 1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU. 👉Mafuta ya samaki yenye...
  13. Virutubisho na faida za Tangawizi kwa afya

    Ni mzizi ulio na faida kubwa sana kwa afya. Vyanzo vya kihistoria vinataja asili ya mzizi huu kuwa ni Kusini mwa bara la Asia. Hupatikana kwenye familia kubwa ya Zingiberaceae. Kwa mujibu wa USDA, tangawizi ni mzizi ulio na mjumuiko wa nishati, protini, wanga, nyuzilishe, madini chuma...
  14. Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

    Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu. Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi...
  15. O

    Kukokotoa faida na hasara kwenye biashara ya jumla na reja reja na namna nzuri ya kuuza

    Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa. Kuna hizi bidhaa hapa Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
  16. Nafasi iliyopatikana kwenye uchaguzi wa 2020 ikitumika vizuri ni faida kubwa kwa CCM

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
  17. Faida gani Taifa lilipata kwa kuwakandamiza CHADEMA?

    Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia. Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye...
  18. Meditation: Maana, njia na faida zake

    Meditation ni mazoezi ya akili ambayo hutumiwa kufikia utulivu wa ndani na kuboresha hali ya kisaikolojia. Ni mazoezi ya kimwili na kiakili yanayojumuisha kutulia kwa muda, kuzingatia mawazo au pumzi, na kuachilia hisia na mawazo yasiyofaa. Kwa kawaida, meditation inalenga katika kupunguza...
  19. Pamoja na gharama za maisha kuwa juu Bei ya mafuta yaongezeka kwa sh.149 kwa lita. Ruzuku ina faida gani?

    Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku. Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita. Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
  20. Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

    Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…