fahamu zaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜€๐˜„๐—ฎ

    Wanasema pesa ngumu ๐Ÿ˜ƒ hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. ๐Ÿ“ˆ Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ฃ๐—ฃ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ž๐—จ๐—ง๐—›๐—œ๐—•๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—–๐—›๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—œ๐—š๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—œ๐—ฃ๐—›๐—ข๐—ก๐—˜ ๐—”๐—จ ๐—”๐—œ ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

    Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa โ€œApple Reference Imageโ€ ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. ๐Ÿคฏ Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
  3. JamiiForums Tanzania ๐— ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—”๐˜€๐˜€๐—ถ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐Ÿ˜ฑ

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. ๐Ÿค– Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  4. JamiiForums Tanzania ๐—”๐——๐—ข๐—•๐—˜ ๐—ฆ๐—”๐—ฆ๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—”๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—š๐—ฃ๐—ง๐Ÿ‘‹

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! ๐Ÿ˜ฑ Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. ๐ŸŽจ๐Ÿ“ธ๐ŸŽฌ Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. ๐Ÿ–ผ๏ธ Photoshop โ€“...
  5. JamiiForums Tanzania TIKTOK Imeweka Mfumo wa Voice Call ๐Ÿ“ž

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp ๐Ÿ‘‹, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ž Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  6. JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo๐Ÿ˜ฑ๐Ÿคฏ

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! ๐Ÿ”ฅ Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. ๐Ÿค–๐Ÿ”ฅ. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  7. JamiiForums Tanzania Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

    Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. ๐Ÿ“ข Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
  8. JamiiForums Tanzania Vita ya Google na Apple nani Mshindi?

    Kama unafikiria Google tunaweza kutumia mfumo wa Liquid Glass kuendana na iPhone kwenye vifaa vyetu sahau kabisa ๐Ÿ‘‹. Hii ndo kauli mpya ya ametoa Bwana Sameer Samat Rais wa Google kwenye masuala yote ya Ecosystem ya Android. Aliweza kutoa kauli hiyo baada Uvumi kusambaa kuwa Google wataweza...
  9. JamiiForums Tanzania App ya Google chrome itaruhusu watumiaji kudanganya location

    Program ya Google itaweza kuongeza Usalama zaidi kwa watumiaji wa simu za Android kuhusu location uliyopo. Google chrome itaweka option mpya upande wa location kuruhusu Mtumiaji kuweza kuchagua kudanganya au kusema kweli kuhusu eneo ulilopo kupitia Google chrome. ๐ŸšจKutakua na option mbili...
  10. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐Ÿฑ ๐—ญ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ

    Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana. Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps, mipangilio ya simu, ufanisi, stability pamoja na security kwa ujumla. kama unatumia Simu ya Samsung Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania ๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—ข ๐—ซ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ

    Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China. Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana...
  12. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ฐ๐—น๐—ผ๐˜‚๐—ฑ ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

    Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio ๐Ÿซข. Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa. Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
  13. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ

    Ni rasmi sasa feature mpya ya Whatsapp kuonyesha Status upande wa juu kabisa kwenye chati imeanza kutoka. Mwanzoni tuliposti kuwapa taarifa kuwa iko kwenye Development stages, lakini Sasa imeachiwa kwa watumiaji wa simu za Android wanatumia beta version lakini kwa watu kadhaa sio wote...
  14. JamiiForums Tanzania Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

    Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline ๐Ÿซต, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory), Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu anga yatakayo tokea Tanzania mwaka 2026

    Mwaka huu 2026 kutatokea matukio mbalimbali ya kushangaza kuhusu Anga Yenye kuvutia Machoni na kushangaza. Utaweza kukutana na mambo mbalimbali kama vile Mwezi kubadili kuwa mwekundu, kutokea Giza la ajabu ulimwenguni, nyota zote kupotea matukio haya yataweza kujitokeza mwaka huu 2026. ๐Ÿ”บ Machi...
  16. JamiiForums Tanzania Watumiaji Mtandao wa X kujulikana walipo

    Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa๐Ÿ˜Ž. Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako. Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu...
  17. JamiiForums Tanzania ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ฒ๐—ฒ๐—ต!!

    Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake sio poa ๐Ÿ‘‡
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu Zaidi Kuhusu BATI

    FAHAMU ZAIDI: Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando FAHAMU...
  19. JamiiForums Tanzania ๐—ฅ๐—˜๐——๐— ๐—œ ๐—ฟ๐—ฎ๐˜€๐—บ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ถ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ

    ๐Ÿ—ฏ๏ธ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI. ๐Ÿ—ฏ๏ธ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo...
  20. JamiiForums Tanzania ๐—ฉ๐—ถ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚

    Inawezekana umeshtuka kidogo ๐Ÿ‘‹, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025. Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ