The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,488
The national disgrace kubwajinga Mwijaku kafuta posti zote za mama na CCM kwenye ukurasa wake wa Facebook na Instagram
Opportunists tu hawa hawana misimamo yoyote.ila why kufuta?
Nilifikiri anasimamia misimamo yake na jinsi anavyo ongeagwa...duh!!!!!!
Nimeipenda code aliyoitumia huyu dogo.The national disgrace kubwajinga Mwijaku kafuta posti zote za mama na CCM kwenye ukurasa wake wa Facebook na Instagram
View attachment 3496586