Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi.
Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi.
Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
Ukichunguza kwa makini bila mihemko utagundua Facebook ni kwa ajili ya watu wajinga na washamba na wavivu wa kufikiri.
Mambo yanayoendelea Facebook, aina za post, comments na akili za wachangiaji daah! Itoshe tu kusema ujinga ni mwingi sana Facebook kmmmk.
Inashangaza kuona bado watu...
Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa.
Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea.
Ngoja nimwambie:
- Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
Kuna siku nilimuuliza akanipiha Block,
Mwambukusi ana bweka tu kwenye socia media ila hutakaa umuone Mahakamani au kokote kule, Maraisi wemgine wa TLS walio tangulia tulikiwa tunawaona Mahakani pia, ila MWambukusi ni tofauti anaongea sana mnoa ila mulete kwemye vitendo.
Wakili kama Kibatala ni...
Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest
Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k.
Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
Kwa miezi hii mitatu imetumika kwa ukubwa wake kuunganisha sauti za wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanganyika
Ile FB iliyokuwa inadharauriwa na wasiojitambua ikawa mojawapo ya sehemu muhimu na ya uhakika ya kupata taarifa mbalimbali na updates pia
Leo tangu mchana haifunguki tena! Kumbuka...
GT
Haya mambo haya walizani tunatania kubabake sasa ni mwendo wa VPN Mpaka kieleweke
Pia soma > GE2025 - Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?
Wakuu,
Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
facebook
freedom of expression
instagram
kichwa
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
mitandao
mtandao haupatikani
mtandao kuzimwa kwenye uchaguzi
mtandao kwenye uchaguzi
nayo
signal
telegram
tiktok
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
uhuru wa habari
uhuru wa maoni
whatsapp
youtube
Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings.
Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia.
Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu...
Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum.
Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake
Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama.
Maelfu ya vijana...
Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.
#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe.
Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba...
Nimekuwa na wakati mzuri pamoja na wakazi wa Dodoma tukielezana yale ambayo serikali yao imefanya kwa manufaa yao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, na mipango yetu kwao kwa miaka mitano ijayo, baada ya wao kutupa ridhaa kupitia Uchaguzi Mkuu 2025.
Nimewashukuru kwa kuendelea kukiamini...
Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni....
Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi?
Ok, unamkumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.