Dodomaa inasimama na mgombea urais Dkt Samia Suluhu Hasan

Dodomaa inasimama na mgombea urais Dkt Samia Suluhu Hasan

petr15

Member
Joined
Aug 25, 2025
Posts
38
Reaction score
35
Nimekuwa na wakati mzuri pamoja na wakazi wa Dodoma tukielezana yale ambayo serikali yao imefanya kwa manufaa yao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, na mipango yetu kwao kwa miaka mitano ijayo, baada ya wao kutupa ridhaa kupitia Uchaguzi Mkuu 2025.

Nimewashukuru kwa kuendelea kukiamini na kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kazi ya ujenzi wa Taifa moja, huru, imara, lenye amani, utulivu na maendeleo.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
 

Attachments

  • IMG-20250831-WA0015.jpg
    IMG-20250831-WA0015.jpg
    210.9 KB · Views: 28
  • IMG-20250831-WA0014.jpg
    IMG-20250831-WA0014.jpg
    158.9 KB · Views: 27
Back
Top Bottom