ewura

Kate Victoria Teiba Abbam, born Ewura Ekua Badoe (1934-2016) was a Ghanaian journalist, editor and consultant on women and development. Abbam founded Ghana's first women's magazine, Obaa Sima (The Ideal Woman), in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?

    Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi? Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
  2. EWURA Makao Makuu Dodoma wajifunza utapeli wa ajira hewa

    EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA. Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
  3. EWURA: Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia, Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini. Uamuzi huo ulifikiwa leo, tarehe 5 Oktoba 2021, baada ya Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  4. Waziri Makamba tunasubiri uifumue na TPDC na EWURA

    Kwako waziri wa nishati, Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO. Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
  5. Principal Procurement Officer II at EWURA

    The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of the electricity, water, petroleum and Natural gas sectors. EWURA has the following vacancies for which...
  6. Hivi kwanini Serikali inashindwa kuwaendesha EWURA?

    Hivi ni sababu zipi zinazofanya Serikali ishindwe kuwaendesha EWURA? Kwasababu naona kila kitu wanajipangia wao tu. 1. Bei za mafuta wanajipangia wao tu watakavyo 2. Kuajiri wanajiajiria wenyewe tu wao wala hawataki utumishi iajiri badala ya wao Kuna nini hapo. Jamani Mh. Rais Samia...
  7. Bei ya gesi imeshindikana kushuka au EWURA hawana meno?

    Habari wadau! Wiki iliyopita kuna taarifa kuwa bei za gesi za majumbani (LPG) zimepanda watu wakalalamika sana mpaka Ewura wakatoa tamko. Lakini cha ajabu bei haijashuka bado imepanda mtungi wa 6Kg tuliokuwa tunanunua 18,000/= kwa sasa 20,000/= maisha yamekuwa magumu sana maaana hata mafuta...
  8. Bei ya petrol imepanda tena lini?

    Habari ndugu. Mara ya mwisho naingia filling station bei ya wese ilikua 2,405 karibu sheli zote. Leo nimeingia kujaza wese nakuta bei inasoma 2427 kuna ongezeko la Tshs 22. Nakumbuka jamaa pale sheli alinambia na bado bei itaendelea panda. Tunakoelekea sahivi uchumi utadidimia na sio kukua...
  9. EWURA: Tunaomba tuvumiliane muda huu, hali halisi kwenye soko la dunia ni ngumu sana

    Leo Ewura, pamoja na mambo mengine wamezungumzia kupanda kwa bei za gesi ya kwenye mitungi zinazotumika zaidi majumbani pia wamezungumzia mradi wao wa gesi asilia zinazosambazwa majumbani(CNG) kwenye kipindi cha 'Morning Trumphet' kinachorushwa na kituo cha Azam TV. Mtangazaji: Baada ya...
  10. EWURA yatoa Msaada wa wa Mashuka 431 yenye thamani Mil 5 Vituo vya Afya

    MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa msaada wa mashuka 431 kwa Vituo vinne vya Afya katika Jiji la Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. EWURA imeona itoe msaada huo kama kurudisha mchango wake kwa jamii kwenye sekta ya afya. “Mashuka...
  11. Waziri wa Maji aitaka EWURA kuhakikisha mamlaka za maji zinaboresha huduma

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, jana Aprili 28,2021 amefanya kikao kazi na watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Katika Kikao hicho Waziri ameitaka EWURA wahakikishe mamlaka zote za maji nchini, zinatoa ankara sahihi kwa wateja wa maji na zinafuata sheria...
  12. Principal Accountant – Expenditure at EWURA

    The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of the electricity, water, petroleum and Natural gas sectors. EWURA has the following vacancies for which...
  13. J

    Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

    Mbunge wa Gairo, Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini. Shabiby amesema 'fee' hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS...
  14. Mfanano wa TCRA na EWURA

    Ewura mafyta yakishuka leo kwenye soko la Dunia Tanzania inaweza kuchumua wiki 2 kushusha ama kutoshusha kabisa, utaambiwa bado kuna shehena ya zamani lakini mafuta yakipanda leo jioni tu unawaona wanapandisha bei, unajiuliza kwani shehena ya zamani yenyewe imeisha ghafla? TCRA wakiambiwa...
  15. W

    Geolphysists II at petroleum upstrem regulatory authority

    Habari wakuu, naomba kuuliza interview za geophysists kwenye taasisi ya PURA huwazipoje?
  16. Kitambo kimepita nafasi za kazi EWURA

    Habari wadau, Kuna nafasi EWURA walitangaza mnamo tarehe 22 NOV mwaka jana, sasa imekuwa ni kitambo kidogo kimepita, kama kuna mdau anataarifa ya zile nafasi kama washaajiri au mchakato unaendelea. Nafasi hizo ni kama zinavyoonekana hapo chini Post Title: Technical Manager Electricity One...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…