eric shigongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PreGE2025 Eric Shigongo: Tanzania ni nchi tajiri siyo sawa wananchi wake kuwa masikini

    "Tanzania ni nchi tajiri sana,Tanzania kwa gesi asilia duniani ni nchi ya 82, Tanzania duniani kwa makaa ya mawe ni nchi ya 50 kwa dhahabu ni nchi ya 22, kwa almasi ni nchi ya 10 kwa helium gesi ni nchi ya kwanza kwa madini ya Tanzanite, ni nchi ya kwanza kwa utalii ni nchi ya pili inaifuata...
  2. Waufukweni

    Eric Shigongo: Watanzania tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana. Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa. Shigongo...
  3. J

    PreGE2025 Shigongo amuomba Rais Trump wa Marekani asiifutie Misaada Tanzania kwani miradi mingi itakufa na Watu Wengi watapoteza Ajira!

    Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za Afrika, kwa sababu akifanya hivyo Waafrika wengi watapoteza maisha. Akiwa nchini Marekani kikazi, Shigongo amesema misaada ya Marekani kwa nchi za Kiafrika, inasaidia kwa kiasi kikubwa...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Eric Shigongo: Msifanye makosa mkaniletea mtu ambaye hatokani na CCM

    Wakuu, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM ili iwe rahisi wananchi kupata maendeleo. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Eric Shigongo afanya kampeni ya nyumba kwa nyumba Kata ya Irenza

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024 nchi nzima. Soma pia: Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa CCM ni waelewa na wana akili

    Wakuu, Vijana hawa waelewa na wenye akili ndio akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na ChoiceVariable? :BearLaugh: :BearLaugh: ==== Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Mbunge Shigongo: Kwa Miaka Mitatu, Watu 36 Wameuawa na Mamba Katika Ziwa Victoria

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa Erick Shigongo amesema kwa kipindi cha miaka mitatu watu 36 wamepoteza maisha kwa kuliwa na mamba katika Ziwa Victoria ni idadi kubwa ya watu kuwapoteza. Aidha Shigongo amesema kama wakiweza kuokoa maisha ya mtu mmoja ni faida kubwa sana kwa Taifa letu. Licha...
  8. Roving Journalist

    Eric Shigongo: Vyombo vya Habari vikipewa ruzuku ya Serikali vitakuwa vimefungwa mdomo

    Mbunge wa Buchosa, Eric James Shigongo amesema “Kuna hali mbaya sana kwenye Vyombo vya Habari labda kama Serikali imeamua vife ili wafanye mambo yao sawasawa, hakuna maendeleo bila Vyombo vya Habari.” Ameyasema hayo wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na...
  9. G

    SoC04 Mafunzo ya udereva kwa elimu ya sekondari

    Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo leseni hii itasaidia swala la ukosefu wa ajira mitaani maana mtu anaweza akakosa cheti cha kidato cha...
  10. M

    CCM jitokezeni kulaani ufisadi huu

    Kuna kila sababu kwa Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani kulaani ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliotawala katika Halmashauri karibu zote hapa nchini ambapo miradi mingi imesimama hasa ya Vituo vya Afya na Sekondari Mpya. Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo amesema kwenye jimbo...
  11. BARD AI

    Wanafunzi 130 watumia darasa moja jimbo la Eric Shigongo

    Zaidi ya wanafunzi 130 wanatumia darasa moja katika shule ya msingi Luhama kata ya Bangwe Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza kutokana na upungufu wa madarasa katika shule hiyo. Shule hiyo ambayo ina wanafunzi 1, 306 ina vyumba vyumba vya madarasa 10 huku mahitaji yakiwa...
  12. Kasomi

    Mfahamu Eric Shigongo: Maisha na historia yake

    Eric James Shigongo Mwandishi, mwanasiasi na mhamasishaji (alizaliwa wilayani Buchosa, zamani Sengerema, mkoa wa Mwanza, 10 Agosti 1969) ni mbunge wa Buchosa katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania (kuanzia tarehe 25 Novemba 2020) na mjasiriamali ambaye amejikita zaidi katika uandishi...
  13. Ferruccio Lamborghini

    Siku ya kuzaliwa yenye furaha kwako Eric Shigongo

    Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu). Napenda kumshurku Mungu kwa kuendelea kunipa uhai, afya, nguvu na maarifa ili kuendelea kutimiza dhumuni lake la...
  14. K

    Nani kamtuma Shigongo atoe siri kwamba Hazina imekauka?

    Shigongo amewaomba wananchi kuwa wavumilivu na kulipa tozo ya miamala ya simu tuweze kuinua uchumi ambao umeporomoka, amewataka wananchi kuvumilia machungu kwa miezi kuanzia kumi na nane au zaidi. Kauli hii inakuja wakati ambao ripoti ya timu ya wataalam iliyoundwa kuchunguza fedha zilizotumika...
  15. S

    SoC01 Mabadiliko yanayochochea Uongozi Bora

    Utawala bora na uwajibikaji ni nyenzo mojawapo muhimu sana inayohitajika katika kila Taifa hapa duniani kwa ajili ya kusonga mbele. Ni kupitia utawala bora na uwajibikaji ambapo utu wa binadamu unaweza kudhihirika na kusaidia kumtofautisha na wanyama wengine, lakini pia kumsaidia binadamu...
  16. Kanungila Karim

    Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi. Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema alijifunza lugha ya Kiingereza mtaani, kama wengine wanavyojifunza lugha ya makabila. Shigongo...
  17. Erythrocyte

    Bungeni : Eric Shigongo ampongeza Spika Ndugai kwa kuliletea heshima kabila la Wagogo

    Mh Shigongo ametoa pongezi hizo za kukata na shoka alipopewa nafasi ya kuchangia bungeni . "Mh Spika mimi nilidhani kazi kubwa ya Wagogo ni kujipanga barabara na kuuza maji tu , kumbe nilikuwa sielewi kwamba tunaweza kuwa na kiongozi bora kutoka huko " Chanzo : EA RADIO
  18. Samia atosha tukutane2030

    Eric Shigongo, njoo hapa nikufundishe maana ya vita ya kiuchumi

    Bahati nzuri nina kipaji cha ualimu ingawa mimi ni Askari kwa fani. Vita ya kiuchumi maana yake ni mgongano wa kiuchumi unaotokea baina ya mataifa mawili. Wakati mwingine msuguano huu unaweza kutokea baina ya mataifa mengi lakini yenye pande mbili zilizoungana direct or inderect zenye nguvu...
Back
Top Bottom