CHADEMA hii ya Lissu ingepata Katiba ya JMT ambayo ingeweka tume huru ya uchaguzi na wateule wa rais kutosimamia uchaguzi watu kama Msukuma, Eric Shigongo, Babu tale na Salma Kikwete wasingerudi Bungeni.
Eti watu wanapokea rushwa gizani alafu wanazirudisha mbele ya kamera.
Nomsensical...
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, wanafunzi wa vijijini sasa wanasoma mubashara na walimu walioko jijini Dar es Salaam kupitia mradi wa Darasa Janja. Huu ni ubunifu wa kipekee ulioanzishwa na Mbunge wa Buchosa, Mheshimiwa Eric Shigongo, ili kutatua kwa vitendo changamoto ya upungufu wa walimu...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao
Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza Eric Shigongo amefanikisha usimikaji wa taa za barabarani katika jimbo hilo jambo lililoweka historia mpya kwa jimbo hilo,
Wananchi wa Buchosa wamemshukuru Shigongo na kuahidi kushirikiana naye kwa miaka mingi ijayo
Wakuu,
Yaani hawa wananchi wa Buchosa akili zao zinatakiwa kupigwa window kabisa, maana ni aibu sana kuambiwa maneno kama hayo na Mbunge alafu ukakaa chini ukasikiliza.
Uko Marekani watu wapo busy kuwaahidi wananchi mambo ya Space Force na kwenda Mars, Mbunge anajitokeza anawaahidi wananchi...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa mara nyingine tena.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema amekuja na mpango wa smart classes (madarasa janja) kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo yao hasa ya Sayansi na kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameishukuru Serikali kwa kutoa vivuko vinne vitakavyotoa huduma za usafiri kwa wananchi wa Buchosa
Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi wa kata nne zinazounda Kisiwa cha Kome, kilichopo katika Jimbo la Buchosa
Shigongo ametaja vivuko hivyo kuwa...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameanza rasmi kampeni ya kufungua barabara za mitaa kwa mtindo wa kitongoji kwa kitongoji, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha miundombinu na kurahisisha usafiri kwa wananchi wa Buchosa
Zoezi hilo limeanza katika Kata ya Nyehunge, likitekelezwa na mitambo...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku.
Ufungaji wa taa hizo kwa sasa unaendelea katika kata za Lugata, Bulyaheke, Katwe, Bangwe, Kafunzo na Nyehunge...
Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, akiahidi ushirikiano...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amepeleka mitambo maalum kwa ajili ya kuchimba na kufungua barabara zote za mitaa ambazo hazijawahi kupitika kwa urahisi, katika hatua ya kuboresha maisha ya wananchi na kurahisisha shughuli za kila siku za kiuchumi na kijamii.
Akizungumzia mitambo...
Wakuu,
Nilikuwa napitia CVs za wabunge leo. Kuna kitu kimenishangaza sana kuhusu huyu Mbunge wa Eric Shigongo.
According to his CV huyu mwamba alisoma Gedeli Primary School kuanzia 1977 had 1983.
Alafu kuanzia 1983 hakuna sehemu inaonesha kama alienda Form 4 na Form 6 au kwenda Certificate...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema mtu yeyote asiwagombanishe wananchi kwa sababu wakigawanyika hakuna maendeleo yanayoweza kufanikiwa.
Shigongo amesema atatangulia mbele ya wananchi waliomchagua na kwamba kama ni kuumia, yupo tayari kuumia kwanza kabla ya wananchi wake wa Buchosa...
Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais...
Mbunge wa jimbo la Buchosa Anasema yeye hawezi kujivuna kwamba amejenga shule kwa sababu hana fedha za kutoka mfukoni kwake za kujenga shule bali fedha zimepelekwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na yeye ndiye anayestahili kusifiwa.
Pia soma: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Licha ya serikali kuboresha huduma ya maji safi hadi vijijini, wananchi wa Buchosa wameiomba serikali kupunguza gharama ya kuunganishiwa maji majumbani, wakisema kuwa ni kubwa na imekuwa kikwazo kwa wengi kumudu huduma hiyo muhimu.
Malalamiko hayo yaliibuka wakati wa mkutano wa hadhara...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Mbunge wa Buchosha Mhe. Eric Shigongo ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.