Aisee yako kama mimi tuKuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 14, Agosti 2021.
Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati.
1. Chelsea FC
2. Man City
3. Leicester City
4. Man United
Tupia na yako
Kweli ww ni utopologist tottenham awe namba moja duuhhh1. Tottenham
2. Man U
3. Man City
4. Aston Villa
5. Leicester
6. Chelsea
7. Liverpool
8. Leeds
9. Everton
10. Brighton
11. Wolves
12. West Ham
13. Crystal Palace
14. Newcastle
15. Southampton
16. Burnley
17. Arsenal
18. Norwich
19. Brentford
20. Watford
1. Man unitedKuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 14, Agosti 2021.
Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati.
1. Chelsea FC
2. Man City
3. Leicester City
4. Man United
Tupia na yako
Hahaaaa, umetisha.
Kama ni mkeka1.Bunley
2. Southamton
3. Watfod
4. Arsenal
1. LiverpoolKuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 14, Agosti 2021.
Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati.
1. Chelsea FC
2. Man City
3. Leicester City
4. Man United
Tupia na yako
Miaka mi5 iliyopita kama mtu angeandika Leicester atakuwa no. 1 angechekwa.Kweli ww ni utopologist tottenham awe namba moja duuhhh