Ligi Kuu England (Premier League) 2026/27 inaanza rasmi leo, Ijumaa Agosti 21, huku mabingwa watetezi Arsenal wakifungua msimu dhidi ya Coventry City kwenye Uwanja wa Emirates.
Mchezo huo unatarajiwa kufungua msimu wenye ushindani mkubwa, huku Arsenal ikilenga kutetea taji lake dhidi ya...