episode

An episode is a narrative unit within a larger dramatic work or documentary production, such as a series intended for radio, television or on-line consumption.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Car Service Episode 7/10: Suspension System (Shocks, Ball Joints, Link Bars nk.)

    Wakuu, leo tudiscuss kuhusu mfumo mzima wa suspension. Kwa uzoefu wangu, wengi tukisikia suspension tunachojua ni “shocks” peke yake, kumbe ni mfumo mkubwa unaojumuisha vitu zaidi ya kumi vinavyofanya gari lisitetemeke, liwe stable barabarani na kuzuia vibration isiingie ndani ya cabin...
  2. Mad Max

    Car Service Episode 6/10: Spark Plugs na Ignition Coils!

    Wakuu, kwema? Leo tuongelee hizi Spark plug na coils ambavyo ni vitu vya muhimu sana kwenye gari, na ndiyo zinazoamua kama engine yako irun smooth au rough wakati wa utendaji wa kazi. Hivi viwili visipobadirishwa kwa wakati, gari linaanza kumiss (ile milio ya puh puh puh), rough hidle...
  3. Mad Max

    Car Service Episode 4/10: Air Filter, Cabin Filter na Diesel Filter!

    Wakuu, leo tuongelee machujio ya hewa na mafuta (air filters na fuel filters). Nayo nayaita mwana mpotevu kwasababu kuna watu hawabadirishi miaka nenda miaka rudi. ENGINE AIR FILTER Engine air filter inachuja hewa inayoingia kwenye injini kabla ya combustion, ikizuia dust, michanga, pollen na...
  4. Mad Max

    Car Service Episode 3/10: Power Steering Fluid na Differential Fluid kuzibadirisha ni bei ndogo ila ni muhimu sana!

    Power Steering Fluid na Differential Fluid zipo kwenye kundi la fluids ambazo uwa zinapotezewa sana wakati wa kufanya service, ilihali gharama zake ni ndogo kuzidi ata faini moja ya trafiki. POWER STEERING FLUID Power steering fluid inasaidis pampu ya steering kufanya kazi vizuri, kwa kufanya...
  5. Mad Max

    Car Service Episode 2/10: Coolant na brake fluid zinatakiwa kubadilishwa kila baada ya miaka miwili au km 40,000!

    Wakuu, kwema? Wengi tunabadirisha engine oil kila mara, lakini tunasahau fluids zingine muhimu sana, mfano coolants na brake fluids. Leo kwenye muendelezo wetu wa service, tuzungumzie coolant na brake fluid ambazo zikipuuzwa zinaweza kuharibu engine au system ya breki au zikakupa majanga...
  6. Mad Max

    Car Service Episode 1/10: Engine na Gearbox Oil!

    Wakuu. Poleni na kila kitu. Nimeona leo tuwe na open discussion ya engine na gearbox oil service. Kama kuna mtu ana ujuzi na uzoefu wa aina aliyitumia na mabadiriko aliyoyaona inaweza kua msaada kwa mwingine. Kwa kuanza, mi nitatoa flashback kidogo na experience yangu ndogo kwenye hivyo...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 MKOLONI HANA RANGI Episode 2: Miaka 4 Ya Samia vs Miaka 4 Ya Richard Turnbull

    RICHARD TURNBULL UWEKEZAJI KWENYE MATUMIZI YA AKILI UINUAJI WA HAKI NA SIASA ZA KUJITEGEMEA KUHAKIKISHA RASILIMALI ZINANUFAISHA NCHI PIA KUIMALISHA MFUMO BORA WA ELIMU NA AFYA KUIMALISHA NA UTUNZAJI MZURI WA RELI WA BARABARA BANDARI YA TANGA NA DAR ES SALAAM ZILIBORESHWA ZAIDI KWA KUJALI UKUAJI...
  8. Mshana Jr

    Polepole episode 5 ni dk 50 zijazo ila anaweza kuwahi pia

    Leo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana Jakamoyo ni kubwa na kimuhemuhe ni kingi.. Haijajulikana leo atasema nini lakini iko wazi kwamba atazidi kuleta mafunuo...
  9. Mashamba Makubwa Nalima

    Dexter: Original Sin: Season 1 Episode 8 tayari

  10. Mashamba Makubwa Nalima

    Paradise inaweza kuwa moja ya show yenye pilot episode kali zaidi

    Achana na trailer, synopsis ama kitu chochote. Tafuta means ya kustream hii kitu ama kudownload kupitia torrents. Utakuja kukubali.
  11. Escrowseal1

    Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  12. cutelove

    Bora Episode au mke wa pili na watatu!

    Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa. Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu series na episode za vijana wa pinga ndoa. Bora nimkamate mzee niwe second wife au third au muendelee...
  13. Nigrastratatract nerve

    Ni Arusha tu ilikuwa inavuruga kukubalika kwa mwamba 2025 kuwa kama mgombea Mwenza wa Samia, hii ni Season 2, episode 1

    Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025. Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda...
  14. Napoleon the second

    EPISODE 1: Uchambuzi wa kitabu cha Siri za Akili ya Mtu Tajiri

    EPISODE ONE ________________________________ UCHAMBUZI MAKINI WA KITABU CHA: "SIRI ZA AKILI YA MTU TAJIRI" (SECRETS OF THE MILLIONAIRE MIND). NA: LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. Kitabu hiki kimeandikwa na T. HARV EKER, ambaye ni milionea, mwandishi na mzungumzaji maarufu...
  15. Melubo Letema

    Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  16. Kuchwizzy

    Python Vs PHP Ipi inanifaa ? (All beginner's questions) Episode 1

    Hello Tech members Moja kati ya maswali yanayojirudia rudia sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia ni "Nijifunze kipi Kati ya Language Y na Language X Au kati ya Framework Y na Framework X?" Kwa beginner, hii ni dilemma ambayo hana hakika njia ipi ni salama au sahihi kwake Kwenye Web...
  17. B

    Mwalimu Nyerere: The Father of Our Nation

    Freedom and unity Freedom and socialism Freedom and development Poverty is bad but poverty in thoughts is worse Source: Personal development How Mwalimu Nyerere was heavily influenced by John Stuart Mill , the guru of theory of Utilitarianism The History of Utilitarianism First published Fri...
Back
Top Bottom