eneo

  1. JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa mbezi Luguruni

    Habari wakuu. Eneo linauzwa Luguruni Eneo linaangalia barabara kuu ya Morogoro Road. Sqm 2789 Title Deed Milion 550 Uwekezaji wowote unafaa sababu eneo linaangalia barabarani (MAIN ROAD) 📱0754693556
  2. JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Kigamboni sqm 5000

    Habari wakuu. Eneo la sqm 5000 linauzwa kigamboni opposite chekechea. Eneo linaangalia barabara kuu ya kwenda kongowe ukitokea kigamboni darajani unaenda moja Kwa moja Hadi chekechea unakutana na eneo lako. Eneo linafaa Kwa uwekezaji wowote ule. Yard Kituo cha mafuta Hotel Apartment na...
  3. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiluvya: Eneo la kujinafasi linauzwa pamoja na nyumba - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  4. JamiiForums Tanzania Kikundi cha askari wa Israel chaangamizwa eneo la Rafah

    Kumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko. Habari hizo zimeripotiwa kwa mara ya mwanzo na waandishi wa shirika la Telegraph na haijathibitishwa idadi...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  6. JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya India na Pakistan inayoendelea hivi leo katika eneo la Kashmir

    Mwezi wa huu wa Mei mwaka 2025, ulimwengu umetikiswa na mgogoro mpya kati ya mataifa mawili yenye historia ndefu ya mvutano – India na Pakistan. Tarehe 6 Mei, India ilitangaza operesheni kali iliyobeba jina "Operation Sindoor," ikilenga maeneo tisa ndani ya Pakistan na kipande cha eneo la...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ngazi za jengo jipya hapa Msimbazi zamani DDC zimejengwa hadi eneo la watembea kwa miguu

    Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
  8. H

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA 90M IPO KIGAMBONI MWASONGA ENEO LA KIGOBEDI

    Nyumba inauzwa eneo la Kigobedi, Mwasonga, Kigamboni. Ukubwa wa eneo: 580Sqm 3 rooms zote master Sitting room Dining room Kitchen Store Umeme upo kijiji cha jirani kama 500m Nyumba ni mpya haijawahi kukaliwq na mtu ndani. Document zote zipo. Mawasiliano: 0783242247 Barabara ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kigamboni: Eneo lenye watu Wapole, Wavumilivu na Wanaonewa zaidi na Serikali yao

    Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu. 1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya. 2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury. Hakuna kelele. 3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya. 4. Siku kadhaa pamoja...
  10. JamiiForums Tanzania Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

    Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu. Naanza: Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat. Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu. Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”. Kunguru - alikua mweusi...
  11. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk. Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia...
  12. JamiiForums Tanzania Magaidi waua watu 56 eneo la kati la Nigeria.

    Ni muendelezo wa mauaji ya kigaidi huko Nigeria katika mkesha wa pasaka.
  13. JamiiForums Tanzania Eneo lenye Nyumba 3 linauzwa Tegeta

    Eneo lenye Nyumba 3 linauzwa. Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Old Bagamoyo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1204. Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 au 0767...
  14. JamiiForums Tanzania kama unataka kiwanja nunua kipindi hiki cha mvua ulijue eneo vizuri

    usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  16. JamiiForums Tanzania Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
  17. JamiiForums Tanzania Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa Temeke

    Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa. Mahali: Temeke karibu na shule ya Yemen, Mtaa wa Mganda. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Chang'ombe. Ukubwa wa Eneo: SQM 548. Bei: Tzs Milioni 400. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uuzaji holela wa eneo la kijiji unaosababisha Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu kata Usagara, kijiji Nyangomango, kitongoji Nyaruhama

    Kuna tatizo linaendelea hapa kata ya usagara,kijiji Nyangomango,kitongoji Nyaruhama. Kuna uchimbaji wa molamu katika makazi ya watu na mbaya zaidi lipo shimo lefu sana ambalo limetokana na uchimbaji wa hyo molamu hii ni hatari na watu wanaoishi maeneo haya hasa watoto hasa kipindi cha mvua maji...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo lipo Homboza Msanga Zalala eneo unaweza kujenga au kuchimba mchanga ni tambalale

    Habari viongozi nina eneo lipo omboza msanga zalala ni eka mbili eneo ni mali yangu halali halina shida yoyote eneo ni tambalale kabisa naitaji million13 kwa eka zote mbili nipigie simu 0794454720
  20. JamiiForums Tanzania DAWASA yarekebisha eneo la Posta kulipokuwa na changamoto ya majitaka kutiririka barabarani

    UTIRIRISHAJI MAJITAKA POSTA WADHIBITIWA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imedhibiti utiririshaji wa majitaka kwa uondoaji wa majitaka na taka ngumu zilizokuwa zimepelekea chemba kuziba katika eneo la Posta. Mamlaka inasisitiza matumizi sahihi ya miundombinu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…