emmanuel nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Pamoja na nyota ya Dkt. Nchimbi kung'aa sana mwaka huu lakini bado nasema 'No reforms no election'

    Ni wazi kuwa mambo ya maridhiano yamemshinda Rais Samia na sasa amemwachia Dr. Nchimbi masuala hayo. Inawezekana pia kuwa anamwachia makubwa zaidi kwa kujua au kutojua, anyway haijalishi. Hivi karibuni Dr. Nchimbi ameonekana kwenye picha na mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya walioko Tanzania...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: Emmanuel Nchimbi afanya kikao kizito na mabalozi wa Umoja wa Ulaya (EU). Je, wameenda kuongelea masuala ya 'Reforms' za Uchaguzi?

    Wakuu, Nimeona Nchimbi ameenda kukutana na mabalozi wa EU. Je hii ina maana kwamba watakuwa wameenda kuzungumzia masuala ya kisiasa nchini na kuhusu No Reforms No Election? Hapa sidhani kama wameenda kuzungumzia mambo ya kiuchumi maana wangemuita Jafo. Ila kama wamemuita Nchimbi maana yake ni...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchezo mchafu kupitia kamati za Siasa Wilaya na Mkoa, taadhari kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi

    Ufuatiliaji wa Chaguzi za Chama Tunakuomba ufuatilie kwa umakini mkubwa mambo yafuatayo katika chaguzi za Chama, hasa wakati wa kupitishwa wajumbe. Ni muhimu kuzingatia majina matatu ya madiwani ngazi ya kata kwenda ngazi ya wilaya/jimbo na mikoani kwenye vikao vya maamuzi. Hali ya Mchezo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Ujenzi Jengo jipya la Makao Makuu ya CCM kugharimu Bilioni 34

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho. Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM...
  5. Mr Beast

    JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi: Watia nia CCM tambueni uchaguzi siyo vita

    Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi (CCM), Dkt Emmanuel Nchimbi amewataka Wabunge wenye nia ya kugombea watambuane na yeyote atakayeshinda au kushindwa amuunge mkono mwenzake. Dkt Nchimbi ameyasema hayo wakati akiongea na Wananchi wa Nyamongo, Tarime Vijijini, aliposimama kuwasalimia. “Katika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi: Vijana msikubali kupotoshwa

    Balozi Nchimbi Nyerere alionya vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa. Ameeleza kuwa baba wa Taifa alitamani kuona taifa lina wasomi ambao watalitumikia taifa. "Ndiyo maana baba wa Taifa alisema vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa, vijana wa Tanzania wasikubali kupotezwa, vijana wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi: Tusivurugwe miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu

    BALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa wanaojaribu kuhatarisha haki...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Balozi Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara Karibu kufuatilia ziara hiyo kupitia vyombo vya Habari na Mitandao yetu ya Kijamii Kazi na Utu , Tunasonga Mbele
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi: Moyo wa Msamaha ndio Utakaolijenga Taifa Letu

    "Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Emmanuel Nchimbi ahitimisha ziara yake mkoani Ruvuma

    Dkt. Balozi Emmanuel Nchimbi ahitimisha kwa kishindo ziara yake mkoani Ruvuma
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TPA: Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma itakamilika kwa Wakati

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya wa Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma unakamikika kwa wakati na kwa ubora...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Viongozi jibuni changamoto za wananchi, CCM ni yao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewataka watendaji wa chama hicho kuhakikisha wanatekeleza mambo yanayojibu changamoto za wananchi, akisisitiza kuwa CCM si chama cha viongozi bali ni cha wanachama wa kawaida. Dkt. Nchimbi ametoa maagizo hayo akiwa...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho, Halmashauri ya Songea Vijijini, Wilaya ya Songea, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, akiendelea na ziara yake ya siku 5, mkoani Ruvuma, leo Jumamosi tarehe...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuanza kupewa Escort na Ulinzi wa TISS kwaanza kumpa kiburi Emmanuel Nchimbi

    Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu. Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao. Tangu ateuliwe...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bombambili Songea: Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF). Mgeni Rasmi ni KM wa CCM Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenze ambaye ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, pia ni mhariri na mwanachama wa Jukwaa la Wahariri, TEF, niko hapa ukumbi wa Bombambili Songea, mkoani Ruvuma, kuwaletea live ya Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyepinga Samia na Nchimbi kupitishwa kama wagombea Urais CCM, apeleka shauri lake mahakamani kupinga ukiukwaji wa Katiba

    Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro naye bila hata kufuata utaratibu akapokea "maagizo toka juu" atangaze kuwa mzee huyu...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina budi kumtumia Emanuel Nchimbi ili kuboost kampeni yao ya kidigitali ya Tone Tone

    Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi anaenda kuwa katibu mkuu bora kabisa wa CCM

    Salam kwenu. Katika mkutano wake na makatibu matawi na kata katika wilaya ya Dodoma ameweka vipimo mathubuti kuelekea uchaguzi mkuu. Kwa maelekezo yake thabiti dhidi ya watia nia wote tutarajie haki wakati wa mchakato na uchaguzi wenyewe. Kuna wahuni walishaanza kutaka kupita bila kupingwa 😂😂...
Back
Top Bottom