elimu

  1. Ntafanya elimu ya Tanzania iheshimiwe dunia nzima, yaani mtu akiwa na cheti kutoka Tanzania ataheshimiwa

    Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;- Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza, Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata...
  2. uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  3. R

    Elimu haina mwisho: kwanini inaitwa: Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions) Act Chapter 310

    Kwanini inaitwa Law Reform? Mbona chapters zingine za sheria zetu haziitwi hivyo? (hazianzi na Law Reform)
  4. Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  5. Nchi za Afrika zinazotumia lugha zao asili za Kibantu kwenye elimu, serikali na jamii yote

    Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu) Elimu: Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
  6. W

    Elimu ya darasa la saba inatosha kwenye biashara za uchuuzi, sioni haja ya kusomea hadi chuo wakati kuna mabilionea wengi std 7

    Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k. Nunua chupi 200 uza 300 faida 100 Nunua kreti lasoda 13,000 uza 15,000 nunua simu elfu 70 uza laki 2 Biashara...
  7. BEST HOME TUTORING – Elimu Bora Nyumbani Kwako (primary ,Form One to A-Level)

    Habari wakuu, Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako. ✅...
  8. Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  9. W

    Kwa elimu ya masters kipi bora, uwe Mbunge au mtaji wa biashara bilioni 2

    Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER) kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
  10. Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  11. Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?

    Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎. Namshukuru Mungu alinipa siri yake Nikawa nafaulu Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics Kila kitu kinawezekana Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe . Watu waliopewa uwezo na Mungu Kuyavumbua na...
  12. Wadau wa Elimu Mnalielewa hili?

    Picha inaongea mimi sitosema mengi na hii sio AI ni Human Intelligence (HI)
  13. W

    TEITI yatoa elimu kwa wadau na washiriki katika jukwaa la uziduaji, 2025

    Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa TEITI ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ripoti ya 15 ya TEITI kwa kipindi cha mwaka...
  14. M

    Wataalamu wa kodi emu tupeni elimu

    Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
  15. Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  16. Tanzu na Vipera: Elimu ya kipumbavu kabisa isiyo na msaada.

    Bora ule muda ningeenda zangu VETA nisomee ufundi wa mabomba au umeme, nikitoka niende English course ili nifanye mtihani wa kiingereza wa IELTS au PTE baada ya hapo nitafute kazi ughaibuni au kukomaa hapa hapa. Miaka 4 ya O level, 2 ya Advance, 3 ya chuo kikuu ilikuwa ni UPUMBAVU.
  17. S

    Tamisemi ni miezi miwili hawajatuma fedha za elimu bila malipo mashuleni

    Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
  18. Vijana wanakwama baada ya masomo sababu Taasisi za Elimu ya Juu zinazalisha Wasimamizi badala ya Watendaji

    Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
  19. Wakati viongozi wa yanga wanakwenda kusoma kujiendeleza kielimu Simba wao wamebaki na elimu ya mkoloni kichwani

    I salute you kinsmen. Kila siku tunazidi kuona namna yanga inavyojitofautisha na vilabu vingine hapa nchini .. Tunaona viongozi wa yanga wakiwa ni wasomi watupu na hawachoki kusoma kujiendeleza maarifa yao . Baada tu ya kijana msomi Eng Hersi said ambaye ni Rais wa yanga na ACA alipokwenda...
  20. Wabunge Wetu: Wabaki Kupongeza Ufisadi Badala ya Kuutokomeza? Ni Wakati wa Kutumia Elimu Kama Kigezo Cha Uongozi!

    Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kwa taifa kwamba kiwango cha parliamentary competence kimeporomoka kiasi cha kushangaza. Tunaona wabunge wetu wakibakia tu clapping hands na kugonga meza kama watoto waliokosa malezi, bila kuelewa kabisa the gravity of issues zinazowasilishwa mbele yao. Imagine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…