SoC04 Matumizi ya teknolojia katika elimu

Tanzania Tuitakayo competition threads

GSDR

New Member
May 5, 2024
2
2
Dunia ya sasa ipo katika MAPINDUZI makubwa sana ya Teknolojia na hii imepelekea karibia KILA kitu SASA kinafanywa KWA Teknolojia kubwa bila kujarisha ni sekta gani.

Nina tarajia na kuzishauri mamlaka zinazohusiana na ELIMU kujikita katika matumizi ya Teknolojia kama njenzo muhimu katika kutoa ELIMU bora Ili kukitengeneza wataalamu wenye ubobevu katika Teknolojia na hivyo kuja na mawazo mapya na ya kibunifu zaidi kwenye Teknolojia.

Walimu wa shule za msingi, sekondari, vyuo vya Kati na vyuo vikuu waanze kutumia Teknolojia katika ufundishaji wao na sio kuendelea na njia za zamani ambazo kwa sasa zimepitwa na wakati ktk ufundishaji.
 
Nina tarajia na kuzishauri mamlaka zinazohusiana na ELIMU kujikita katika matumizi ya Teknolojia kama njenzo muhimu katika kutoa ELIMU bora Ili kukitengeneza wataalamu wenye ubobevu katika Teknolojia na hivyo kuja na mawazo mapya na ya kibunifu zaidi kwenye Teknolojia.
Tunaomba mfano mmoja wa kitu unatarajia kushauri, au hizo njia bora mpya za ufundishaji ili kuziacha mifano wa zipi zilizopitwa na wakati? Tuambie tujifunze
 
Back
Top Bottom