elimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kodi emu tupeni elimu

    Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
  2. JamiiForums Tanzania Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  3. JamiiForums Tanzania Tanzu na Vipera: Elimu ya kipumbavu kabisa isiyo na msaada.

    Bora ule muda ningeenda zangu VETA nisomee ufundi wa mabomba au umeme, nikitoka niende English course ili nifanye mtihani wa kiingereza wa IELTS au PTE baada ya hapo nitafute kazi ughaibuni au kukomaa hapa hapa. Miaka 4 ya O level, 2 ya Advance, 3 ya chuo kikuu ilikuwa ni UPUMBAVU.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tamisemi ni miezi miwili hawajatuma fedha za elimu bila malipo mashuleni

    Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wanakwama baada ya masomo sababu Taasisi za Elimu ya Juu zinazalisha Wasimamizi badala ya Watendaji

    Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa yanga wanakwenda kusoma kujiendeleza kielimu Simba wao wamebaki na elimu ya mkoloni kichwani

    I salute you kinsmen. Kila siku tunazidi kuona namna yanga inavyojitofautisha na vilabu vingine hapa nchini .. Tunaona viongozi wa yanga wakiwa ni wasomi watupu na hawachoki kusoma kujiendeleza maarifa yao . Baada tu ya kijana msomi Eng Hersi said ambaye ni Rais wa yanga na ACA alipokwenda...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu: Wabaki Kupongeza Ufisadi Badala ya Kuutokomeza? Ni Wakati wa Kutumia Elimu Kama Kigezo Cha Uongozi!

    Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kwa taifa kwamba kiwango cha parliamentary competence kimeporomoka kiasi cha kushangaza. Tunaona wabunge wetu wakibakia tu clapping hands na kugonga meza kama watoto waliokosa malezi, bila kuelewa kabisa the gravity of issues zinazowasilishwa mbele yao. Imagine...
  8. JamiiForums Tanzania Elimu ya anga

    Je, ushawahi kujiuliza tofauti kati ya AIRPLANE or AEROPLANE? Au AIRCRAFT na FLIGHT? Ingawa maneno haya yote kwa Lugha ya kiswahili yanaweza kumaanisha Ndege, lakini hizi ndiyo tofauti zake; Airplane: ✅ Neno hili hutumika sana katika Kiingereza cha Marekani, likimaanisha chombo cha usafiri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu (TET) yawatuza Walimu waliofanya vizuri Stadi za Ufundishaji Shule za Msingi na Sekondari

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kubuni na kuandaa shindano la stadi za ufundishaji kwa walimu wa shule za msingi na sekondari, akisema kuwa tuzo zinazotolewa kwa washindi zinaleta motisha na kuwatia hamasa walimu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania ELIMU YA MTAANI: Tusubiri mpaka Polisi wafike eneo la tukio au tumuwaishe hospitalini??

    Eti wakuu, Jenga picha upo kijiweni saa 12 jioni baada ya kutoka kazini, mnapiga story mbili tatu, mara ghafla linatokea tukio la uhalifu, mtu mmoja anapigwa risasi barabarani/mtaani. Ila baada ya kumtazama vizuri mnagundua kuwa huyo mtu anatiririka damu nyingi sana lakini hajafa. Sasa hapa...
  11. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya walimu hayaleti tija ya Moja kwa moja Kwenye Elimu

    Dhambi nyingine ni kutumia rasilimali za Serikali na mwisho kukosa matokeo stahiki. Natamani nisilalamike Bali niseme tu. Napongeza wizara ya Elimu kwa jitihada kubwa katika Elimu. Na pili, niwakosea kwa kuendelea na ukiritimba Wa kale ili waweze kufuja pesa za Serikali huku watoto wakiambulia...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12. Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
  13. JamiiForums Tanzania Complication on Archangels and it's duties (wenye elimu kubwa wanijuze)

    Naomba kufahamu au kujuzwa kwa mwenye ujuzi mkubwa, kwa kawaida malaika Hawa ni viumbe wa Mungu, Gabriel, Mikael, Rafael na Uriel, na asili zao, mfano Gabriel Ana asili ya maji, Uriel Ana asili ya moto nakadhalika, Je inakuwaje tunaweza kuwatumia katika kutuunganisha na Mungu kwa ajili ya ulinzi...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

    Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au, 3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD). Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Heche anakiri kuwa CHADEMA inawapa ubunge watu wasiokuwa na elimu wala uelewa?

    Nimemsikia Heche akisema Chadema ilimpa Ubunge wa Viti Maalum Susan Kiwanga, anaongeza walimpa ubunge wa viti maalum huku akiwa hana elimu na alikuwa akifanya kazi za ndani So huo ubunge wa viti maalum wanatoa bila kuzingatia merit? Sasa kama "wanawapa" uongozi watu wasio na elimu wala uelewa...
  16. JamiiForums Tanzania Elimu na teknolojia ya Tanzania iboreshwe kwa viwango vya juu ili iandae watu wenye uwezo mkubwa

    Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu Elimu ya kikoloni Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri Na technology Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe mtaalamu zaidi
  17. JamiiForums Tanzania Pata elimu ya bure,hivi ndo kura huwa zinaibwa katika nchi X

    Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali. Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi 1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga sc anaongeza Elimu ya Michezo chuo cha Harvard Business School

    Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu. Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Elimu yangu

    Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha. Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya... Hasa scandinavian countries, Sasa naomba kujua vyeti vyangu nibebe au niachane navyo!! Mana nasikia kule elimu yetu Haina Thamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…