elimu ya msingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serikali izuie mfumo wa Pre Form 1 hadi Novemba. Watoto wapate muda wa kupumzika baada ya safari ndefu ya elimu ya msingi

    Kumekuwa na mwelekeo usio na afya katika mfumo wetu wa elimu, hususan baada ya mitihani ya darasa la saba. Punde tu mitihani inapomalizika, matangazo ya tuition za Pre Form 1 huibuka kwa kasi, yakichochea hofu na presha kwa wazazi. Wengi hujihisi wanalazimika kupeleka watoto wao, si kwa sababu...
  2. L

    Usawa kwa Waandishi wa Habari: Wabunge Wanahitaji Elimu ya Msingi Tu, Lakini Waandishi taaluma Certificate etc.? Hii Sio Haki! Uchaguzi 2025

    Wananchi wa Tanzania, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni wakati muafaka wa kuangazia masuala ya msingi yanayohusu haki, usawa, na maendeleo ya taifa letu. Moja ya changamoto kubwa inayopaswa kushughulikiwa kwa dharura ni tofauti kubwa ya viwango vya elimu vinavyohitajika...
  3. C

    2027 elimu ya msingi itaishia darasa la 6, hivyo kutakuwa na madarasa mawili ya mtihani yaani std 6 na std 7, hao wote wataenda sekondari zipi?

    Habarini. Mwaka 2023 waziri mkuu alitangaza sera mpya ya elimu, ikifuta darasa la saba kuanzia 2027. Hivyo wanafunzi waliopo darasa la 4 mwaka huu wataishia std 6 by 2027 na kwenda kuanza form 1 by 2028. Lakini wakati huo pia wa 2027, kutakuwa na std 7 (ambao wapo std 5 mwaka huu) nao...
  4. Lord Denning

    Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Msimamo wangu juu ya elimu ya msingi na maboresho yake

    Nikiwa Rais wa Tanzania yatafanyika maboresho kwenye shule za msingi kama yafuatayo;- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza Kuongeza somo la compyuta Kuongeza vigezo vya walimu wa msingi
  6. Ojuolegbha

    Rais Samia awatakia kila la heri Darasa la Saba walioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi

    Nawatakia kila la kheri wanafunzi 1,230,780 wa Darasa la Saba mlioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi leo. Mnatoka hatua moja ya elimu na malezi kwenda nyingine katika safari yenu ya kujiandaa kutoa mchango wenu wa maendeleo kwa Taifa letu. Serikali imeandaa mazingira sahihi ili muweze...
  7. Roving Journalist

    Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita...
  8. Frajoo

    SoC04 Wenye elimu ya msingi wasigombee nafasi za Ubunge

    Dibaji. Maisha ya Tanzania kwa miaka 30 nyuma hayalingani hata kidogo na maisha ya sasa katika kila eneo, iwe kimazingira, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia, mitindo ya maisha na kilakitu.Na hii ni kwa dunia nzima, ndio maana kuna kitu kinaitwa historia, tafsiri yake ni kwamba maisha hubadilika...
  9. Jerry Farms

    SoC04 Mafunzo mbadala kwa kundi la watoto wasiofaulu Elimu ya Msingi: Jitihada kutokomeza ukatili, ndoa za utotoni na Ajira za watoto

    UTANGULIZI Tanzania imeendelea kukumbwa na changamoto ya ukatili kwa makundi mbalimbali, watoto wakiwa ni miongoni mwa kundi hili. Kundi hili limekua likikumbwa na adha za ukatili wa jinsi, ndoa, mimba na ajira. Kitakwimu kundi kubwa linaloathiriwa ni la watoto chini ya umri wa miaka 18. Jamii...
  10. BARD AI

    Kati ya Matibabu, Intaneti na Elimu ya Msingi hadi Chuo, huduma ipi unadhani inapaswa kupatikana Bure?

    Kuna huduma muhimu zinapaswa kupatikana kwa gharama ndogo sana kwasababu ya unyeti wake na athari zake kwa Nchi na Uchumi. Mfano huduma ya Intaneti, Matibabu na Elimu kwa ujumla wake. Hizi huduma zilipaswa kuwa zinagharamiwa na Serikali kwa asilimia kubwa sana kupitia rasilimali za nchi. Mfano...
  11. U

    Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze tafadhali!Mwanangu nilimpeleka kwenye shule moja hivi,nilichokuta watoto wanalishwa kama chakula,sina hamu...
  12. K

    Fursa ya Mafunzo ya Upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari

    Fursa ya mafunzo ya upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari
  13. Stephano Mgendanyi

    Wanafunzi 9 Walioanza Elimu ya Msingi Kititenebo, Chini ya Mti Wahitimu Darasa la Saba, Mbunge Lekaita Awatabiria Makubwa

    Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la saba) leo tarehe 22 Septemba 2023 katika Shule ya Msingi Kititenebo ikiwa ni mahafali ya kwanza tangu kuanizshwa kwa shule hiyo. Akizungumza...
  14. PAZIA 3

    Baada ya kuhitimu elimu ya msingi, wanafunzi wasikae nyumbani

    Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili. TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na...
  15. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  16. Roving Journalist

    Bilioni 230 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa shule za msingi kupitia mradi wa kuimarisha ujifunzaji katika elimu ya awali na msingi

    BILIONI 230 ZIMETOLEWA KWA AJILI YA UJENZI NA UKARABATI WA SHULE ZA MSINGI KUPITIA MRADI WA KUIMARISHA UJIFUNZAJI KATIKA ELIMU YA AWALI NA MSINGI (BOOST) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepeleka kiasi cha shilingi 230,008,500,000 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa...
  17. Midimay

    Je, Elimu ya Msingi na Sekondari zimeondolewa TAMISEMI?

    Habari za jioni wana JF? Kuna kitu katika teuzi na reshuffle za jana ambacho naona media na wana social media hawajaweza kukikamata( ku capture). Kitu chenyewe ni uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu Dr. Franklin Rwezimula kwenda WEST(wizara ya elimu, sayansi na teknolojia) kushughulikia elimu ya...
  18. R

    Waliofutiwa matokeo darasa la saba wafaulu kwa kishindo

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), limesema wanafunzi 2,095 kati ya 2,180 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba uliofanyika kati ya Desemba 21 na 22 mwaka 2022 wamefaulu daraja A hadi C sawa na asilimia 96.1. Limesema wanafunzi hao kati ya 2,194 waliofutiwa matokeo...
  19. Rusumo one

    Kupitisha Elimu ya Msingi kuishia std 6 Nchini hili jambo lipoje?

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita Naibu Waziri wa elimu Nchini alizungumzia kuhusu wanafunzi wa S/M kuishia std 6 kuanzia mwaka 2023. Sasa hii ni Dec 30 na alisema by this Dec 2022 ataweka mambo mezani ikiwemo kuondoa mitihani ya mwisho means mitihani itakuwa form 4, comb zitaanzia form 1. Pls Naibu...
  20. Z

    Bunge lijadili suala la Sera inayopendekeza Elimu ya Msingi kuishia Darasa la Saba

    Hivi karibuni Wizara ya Elimu ilipendekeza Sera mpya ya Elimu ya Msingi kuwa; iishie darasa la sita. Sasa tunaliomba Bunge letu lijadili Sera hiyo muhimu sana kwa Elimu yetu ya msingi, ili kama inapitishwa basi ianze kutumika mara moja. Wananchi wamekubaliana na mapendekezo hayo, jambo...
Back
Top Bottom