elimu bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Edson Eagle

    SoC04 Serikali na Wananchi washirikiane kutatua changamoto katika elimu

    Tanzania bado tuna changamoto katika suala zima la elimu ikiwa ni pamoja na mazingira mabovu ya kujifunzia, uchache wa vifaa bora vya kufundishia nakujifunzia, uchache wa shule katika baadhi ya maeneo hususani vijijini. Katika Tanzania tuitakayo serikali kwa kushirikiana na wananchi tunatakiwa...
  2. Shining Light

    Tatizo la Ajira kwa Watoto: Serikali Ichukue hatua kuchangia Elimu Bora na kulinda haki za Watoto

    Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
  3. blogger

    Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

    Ina tija gani? Halafu ili iwe nini? Na kwanini? Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA? Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi...
  4. Raghmo

    SoC03 Elimu Bora na Uwajibikaji: Misingi ya Mafanikio ya Kesho

    Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya jamii na ustawi wa kiuchumi. Hata hivyo, ili kuhakikisha kuwa elimu inaleta mabadiliko sahihi na yenye tija, uwajibikaji unahitajika katika kila ngazi ya mfumo wa elimu. Hivi sasa, kuna haja ya kuweka mpangilio mzuri wa mawazo na kuchukua hatua thabiti...
  5. M

    Orodha ya nchi barani Afrika zenye Huduma ya Elimu bora kwa mwaka 2022. Tanzania ni ya ngapi?

    1. Seychelles 🇸🇨 (51st) 2. Algeria 🇩🇿 (73rd) 3. Mauritius 🇲🇺 (78th) 4. Egypt 🇪🇬 (84th) 5. Kenya 🇰🇪 (90th) 6. Tunisia 🇹🇳 (104th) 7. Eswatini 🇸🇿 (105th) 8. Ghana 🇬🇭 (106th) 9. Morocco 🇲🇦 (113th) 10. South Africa 🇿🇦 (114th) 11. Cape Verde 🇨🇻 (118th) 12. Sao Tome and Principe 🇸🇹 (119th)...
  6. MK254

    Mataifa kumi yenye elimu bora Afrika

    Noma sana. Wanakagua vitu vingi ikiwemo bajeti iliyotengwa kwa ajili ya elimu. ============ Educational growth in African countries ensures that better academic requirements can be implemented to grow a literate nation. While many African countries are still developing, some have shown...
  7. YasinthaPru

    SoC02 Mafunzo ya Mama

    Sikuwahi kufikiria nitawahi kupata upenyo wa kuongea yaliyositirika kwa muda sana ila hatimae nimefikiwa. Nakumbuka mama aliwahi kuniambia "Mwanangu, siku zote tembea duniani ukivaa viatu vya watu." Kauli ile ilinichanganya ila kadri siku zilivyosonga nilielewa kuwa si kila kiatu ninaweza kuvaa...
  8. The Spartan

    SoC02 Ushauri kwa Serikali kuhusu utatuzi wa changamoto ya ajira kwa vijana wenye taaluma (wasomi)

    Tangu kuanza kwa Karne ya 21, imekuwepo changamoto ya ajira kwa vijana wengi wenye taaluma (Wasomi) katika mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Changamoto hii imekuwa kikwazo kwa vijana wengi kutimiza ndoto zao katika maisha, hivyo wengi wao wakijikuta wakiishi maisha yasiyo endana na...
  9. mzulumanga

    SoC02 Je, ni elimu bora au bora elimu?

    Itakuwa ni jambo la kustaajabisha endapo hata kwa bahati mbaya haujawahi kukutana na moja ya msemo miongoni mwa misemo ifuatayo: “elimu ni ufunguo wa maisha”, “elimu ni mwanga”, “elimu ni ukombozi”. Ninapata nguvu ya kueleza hicho nilichoeleza kwa maana misemo hiyo michache na mingine mingi...
  10. M

    SoC02 Elimu bora na bora Elimu

    Elimu ni maarifa mtu anayo yapata kutoka kwa wazazi, walimu na jamii inayo mzunguka.Elimu huongeza maarifa na kuondoa ujinga. Sasa kuna Elimu bora na bora Elimu. Watu wengi husema Elimu bure sio Elimu bora, Elimu ya gharama ndio Elimu bora. Je ni kweli? Wazazi wengine watumia gharama...
  11. M

    SoC02 Vikwazo vya kupata elimu bora vijijini

    Ikisiri Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi vikwazo mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi tofautitofauti ambao wametoa machapisho mbalimbali yanayojadili swala hili, vilevile wapo wadau wa elimu...
  12. luddo17

    SoC02 Nini/kipi kifanyike ili tuwe na elimu bora Tanzania?

    Nikiwa kama mdau wa elimu, nafahamu kwamba kufundisha na ujifunzaji ni mchakato mgumu sana. Unahitaji utekelezaji na ufuatiliaji. Katika insha hii, lengo langu halisi ni kuangalia cha kupaswa kufanywa ili kupatikane ufundishaji na ujifunzaji bora, yaani kwa maneno mengine, tupate elimu bora...
  13. mraniwene

    SoC02 Samaki Mkunjeni, Ila Mwanangu Msimguse!

    (Mwanzo) Hadithi Fupi “Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka haraka jamani tutakosa wateja, na wateja ndio pesa. Au unafikiri hivi vitumbua vitajipeleka vyenyewe...
  14. M

    SoC02 Changamoto zinazowakabili wanafunzi wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu bora

    CHANGAMOTO NA NJIA ZA KUPATA ELIMU BORA VIJIJINI Ikisiri. Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi changamoto mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi tofautitofauti ambao wametoa machapisho mbalimbali...
  15. M

    SoC02 Mitaala ya elimu na ajira kwa vijana

    UTANGULIZI "MITAALA YA ELIMU NA AJIRA KWA VIJANA" miongoni mwa sekta ambayo nchi ya Tanzania imekuwa ikifanya juhudi ili kupata maendeleo ni sekta ya Elimu,katika awamu ya Tano ya Raisi John Joseph Pombe Magufuli ambae alikuja na mpango wa Elimu bila Ada kuanzia ngazi ya shule ya msingi hadi...
  16. MAKA Jr

    SoC02 Tunahitaji majukwaa ya kukuza fasihi ya Kiswahili

    Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022) UTANGULIZI Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
  17. MAKA Jr

    SoC02 Sababu saba (07) zinazopelekea mtoto wa Kitanzania ashindwe kupata elimu bora

    Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022) UTANGULIZI Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
  18. PrMujuni

    SoC02 Elimu Bora ilenge kutimiza mambo manne kwa mwanadamu

    ELIMU BORA ILENGE KUTIMIZA MAMBO MANNE KWA MWANADAMU. Na PrMujuni ELIMU BORA inahitajika sana na kila siku inaimbwa na wanaharakati wa kisiasa na kijamii. Leo nakuja na wazo kuwa ELIMU yoyote iliyo Bora inapaswa kutimiza malengo makuu manne kwa mwanadamu. Nitatumia msitari wa Biblia kufafanua...
  19. Kikapuu

    SoC02 Elimu bora ni ipi?

    Utangulizi. Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
  20. The Sheriff

    Nguvu ya Kila Mmoja Bado Inahitajika ili Kufikia Lengo la Ustawi Usiobagua Jinsia Katika Kila Nyanja

    Mazungumzo yanayohusu ukosefu wa usawa wa kijinsia katika sehemu kubwa ya dunia ni ngumu kuepukika. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakipambana zaidi kuliko hapo awali ili haki yao ya kuonekana na kutendewa kwa usawa izingatiwe na kutekelezwa. Ukosefu wa usawa wa...
Back
Top Bottom