duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania UNFPA: Wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufika miaka 18

    Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Duniani raha ya kweli wanayo Wanawake

    Hii ipo kimtazamo, pamoja na hofu ya u single mother, umri kwenda, hofu kukosa ndoa au kuolewa, wanawake wanabaki kutawala dunia ya raha na furaha, wengi waume za watu wanaenjoy na masingle baby na masingle mother na ufariji waupatao huzidi wake wa ndoa, wanawake wamejaliwa kufurahi kucheka...
  3. JamiiForums Tanzania Mipaka ya kustaajabisha duniani

    Duniani kuna mipaka ya ajabu sana ambayo wengine wetu huwanda hatuielewi. Mipaka hii ina historia zake, leo hii nitaweka ramani za baadhi ya mipaka hiyo ya ajabu, halafu siku nyingine nitajadili historia za mipaka hiyo. kama unaifahamu mipaka mingine ya ajabu, tufahamishe hapa. Kuna mipaka...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

    Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
  5. JamiiForums Tanzania Picha 10 maarufu zaidi duniani: nini kipo nyuma ya umaarufu huu?

    Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani. Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya maonyesho ya sanaa. Nini sababu hasa inayowavutia watu kote duniani 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Madaraka yanapita na Binadamu tunapita hapa Duniani

    Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu, ila nimeandika kwa msukumo fulani kutoka awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu. Wakati wa awamu ile walitokea watu watukutu ambao hawakujali haki za wenzao na Kuna wakati waliwafanyia binadamu wenzao vitendo unaweza kuhisi sio binadamu wenzao. Kifupi...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti: Kiwango cha Demokrasia kinaendelea kushuka Duniani

    Ripoti ya kila mwaka ya Faharasi ya demokrasia iliyopishwa na shirika la Economist imeonyesha kuwa demokrasia iliendelea kushuka katika mwaka wa 2021. Ripoti hiyo imesema kuwa kwa mwaka uliopita asilimia 45.7 ya watu ulimwenguni waliishi katika aina fulani ya demokrasia, ikiwa ni kiasi cha...
  8. JamiiForums Tanzania Simba wanavyozinyonga timu pinzani wanasahau malipo ni hapa hapa duniani.

    wakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao. Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita Malipo ni hapa hapa hatutaki kusikia mambo ya bahasha wala GSM.
  9. JamiiForums Tanzania Maeneo hatari kutembelea duniani, hasa kwa watalii

    Duniani kuna baadhi ya maeneo ukiyafikiria tuu huwa yanakutamanisha sana kiasi ukatamani siku uende kuyatembelea.. lakini kiuhalisia ni maeneo hatarishi zaidi hapa Duniani. Kiuhalisia Dunia ina maeneo mengi ambayo ni hatari kuyatembelea lakini kwenye uzi huu nitayaongelea machache tuu ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Knights of Templar: Moja ya makundi hatari duniani

    Kuna makundi mengi ya siri ambayo ni hatari sana kama KNIGHTS OF MALTA, KNIGHTS OF EULOGIA (SKULL AND BONES), KNIGHTS OF COLUMBUS, KNIGHTS OF MALTA Japo Kundi hatari zaidi ni The Jesuits ambao wanacontrol the Knights Templar, Knights of Columbus and the Knights of Malta. CIA, FBI, NSA, ASIO...
  11. JamiiForums Tanzania Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri" kwa kufanana

    Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri". Dada hao wenye umri wa miaka 35 kutoka Perth, Australia, wanajiona kuwa "mtu mmoja" na wanasisitiza "kufanana" kwa kila njia - ikiwa ni pamoja na mchumba wao wa pamoja mwenye umri wa miaka 37, Ben Byrnes, ambaye wanasisitiza kulea naye watoto...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Aibu: TFF washangilia ranks za IFFHS huku wakiihujumu Simba iliyosababisha yote, makanjanja yakwepa kusema Simba ya 7 Afrika 98 duniani

    Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi. Ni hawahawa wanafiki walimzuia siingie uwanjani CEO wa team iliyosababisha ranks na heshima kwa nchi...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba. jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanadamu ata-survive kwa muda gani kama kukitokea janga hatari duniani kote..?

    Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo. Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori lililoshika moto!. Mfano wa majanga hayo yanayoweza kutokea ni kama dunia kuangukiwa na kimbuka kikubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Walter Elias Disney: Baba wa filamu za animation na mwanzilishi wa kampuni maarufu duniani ya 'Disney'

    Walter Elias Disney Alizaliwa Chicago 1901, Disney alianza mapema sana kuvutiwa na maswala ya uchoraji. Aliingia kwenye madarasa ya sanaa ya michoro waksti wa utoto wake na alipotimiza miaka 18 alifanikiwa kupata kazi aliyokuwa kama commercial illustrator. Alihamia California mapema miaka ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa ndiyo taasisi hatari kuundwa duniani kwa lengo kutesa maisha ya binadamu

    Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa. Baada ya kifo kitu kingine...
  17. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
  18. JamiiForums Tanzania Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu majanga yake huwa makubwa sana (nimekosa mimi...) yani kwa mfano coca cola ingetoa ingredients zake...
  19. JamiiForums Tanzania Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

    Je Mfalme Mansa Musa kutoka Mali ndiye aliyekuwa tajiri zaidi duniani? 11 Juni 2019 Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ndiye mtu tajiri zaidi duniani , kulingana na orodha ya jarida la Forbes la 2019 iliotolewa wiki hii. Akiwa na mali yenye thamani ya $131bn (£99bn) ndiye mtu tajiri zaidi...
  20. JamiiForums Tanzania Top 10 Orodha ya Matajiri wakubwa Duniani 2022

    Jarida la Forbes ambalo hutoa orodha ya matajiri duniani wametoa orodha ya matajiri wapya dunia. Hii ni orodha ya matajiri 10 kwa mwaka 2022. 1. Elon Musk mmliki wa kampuni ya tesla na spaceX utajiri wake ni $239.2B lakini ameshuka kwa kiasi cha shilingi $1.9B sawa na asilimia 0.79% ya utajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…