Knights of Templar: Moja ya makundi hatari duniani

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,299
3,411
Kuna makundi mengi ya siri ambayo ni hatari sana kama KNIGHTS OF MALTA, KNIGHTS OF EULOGIA (SKULL AND BONES), KNIGHTS OF COLUMBUS, KNIGHTS OF MALTA

Japo Kundi hatari zaidi ni The Jesuits ambao wanacontrol the Knights Templar, Knights of Columbus and the Knights of Malta. CIA, FBI, NSA, ASIO, MI5, MI6, NCIS, FSB, DGSE, Mossad and every intelligence agency in the world are masonic and controlled by the Jesuits.

LEO NIMEPENDA TULIANGALIE KWA UFUPI KUNDI LA KNIGHTS OF TEMPLAR.

Illuminati, walichukua imani yao kutoka kwa “The Knights Templar”. “The Knights Templar” kilikuwa ni kikosi cha kidini ambapo wafuasi wake walipata kuwa matajiri wakubwa kutokana ka kupewa ardhi na zawadi kutoka kwa wafalme wa nchi za Ulaya.

Kufikia miaka ya 1300 kikosi hiki cha Templars kilijiita kuwa ndio wamiliki wa Benki za Ulaya kutokana na utajiri mkubwa waliokuwa nao. Walikuwa na ndoto za kuwa matajiri wakubwa kiasi cha kuununua ulimwengu. Mfalme wa Ufaransa na Papa walianzisha msako wa kuwakamata The Knights Templar lakini Papa akawa na mashaka kutokana na jinsi mfalme alivyokuwa anaendesha msako ndipo Papa akaendelea kufanya msako bila kushirikiana na mfalme.

Wakati wa msako huu kikosi hiki cha Templars kikaungama kosa lao kwa Papa na kujifanya kuwa Templars sasa wamekuwa Wakristo huku wafuasi wake wakificha imani yao ya kumuabudu Lucifa kama mungu wao.

Papa akawa amefanikiwa kukikomesha kikosi hiki lakini hakuwa amekikomesha kabisa kwani hatimaye kiligeuka na kuwa Freemason huku jamii ikiwa inawaona Freemason kuwa ni chama kizuri chenye malengo mazuri tu. ni kwa njia hii Adam Weishaupt aliyekuwa mwanachama wa Freemason alifanikiwa kuanzisha imani ya chama cha siri cha Illuminati ndani ya chama cha siri cha Freemason

The knight Templers ndio wamiliki wa Benki kuu ya dunia na IMF. Benki ya Dunia pamoja na IMF zinamilikiwa na familia mbili za Freemason wa The knights of Templers ambazo ni The Rothschilds ya Uingereza, japo wako Marekani ila chimbuko lao ni Uingereza na ni wayahudi wa kuzaliwa, familia ya pili ni The Warbugs ya Ujerumani.

Kila moja ya familia hizo ina watoto watano ambao kwa kila wakati wamekuwa wakitawala katika taasisi hizo kubwa za fedha duniani. Hakuna mtu asiyejua kwamba taasisi hizi ndizo zinazotoa mikopo kwa nchi mbalimbali na hutoza riba kubwa kiasi kwamba nchi husika hushindwa kulipa madeni hayo na hatimaye kulazimika kufuata masharti yao ili wapewe msamaha wa madeni yao na kupewa mikopo tena zaidi. Kwa taarifa zaidi nenda na fungua mtandao wa google kisha search the rothschilds au the Warburg.

Najua Kuna watu wanakasirika juu ya mama yaani Rais wa jamhuri ya Tz kusafiri kwenda kwenye vikao vya kimataifa, wanampima kwa viwango vya Rais aliyepita juu ya kutosafiri. Hata wewe sasa hivi tukikupa nafasi hiyo utaenda kuhudhuria vikao hata hayati JPM alikuwa anatuma wawakilishi. Kuwa Rais si jambo dogo, Kuna mambo makubwa yanayomzunguka pamoja na nguvu za mataifa makubwa. Hivyo Rais haishii kuwa rais tu bali pia mwakilishi wa taifa katika nyanja za kimataifa.

Lengo langu hapa si habari ya Rais kusafiri bali nataka kukuambia siri ambayo ipo nyuma ya vikao hivyo, ambayo inamfanya Rais kuudhuria, hilo ndilo la muhimu. Siku za mbeleni Mungu akinijaria nitaandaa makala nini kinapangwa juu ya vikao hivyo vya kimataifa. Usifikiri wanakutana kunywa soda au bia au kupiga soga tu, Kuna mambo mazito ambayo yatabadilisha mtazamo wa maisha yako milele.
HIYO NI KAZI YA KNIGHTS OF TEMPLAR
1643851159385.png

ingekua ziara za marais zinabadilisha maisha yetu, tangu awamu ya Mkapa na Kikwete tungekwisha ondokana na umaskini,maana safari zao zilikua nyingi na walikua wanahudhuria na kuhutubia pia kwenye vikao.

Hebu sasa tumsikilize ndugu Baron M.A Rothschild, yeye anasema kwamba,

“Give me control over a nations currency, and I care not who makes its laws.” ~Baron M.A. Rothschild,

Yeye anasema kwamba “Nipe utawala wa fedha za mataifa yote, sijali ni nani anayetunga sheria zake.”

Zaidi unaweza kwenda kwenye mtandao ambapo utapata kujua sababu za kuanzishwa kwa Benki ya dunia zikitajwa na Rais wa tatu wa Marekani Thomas Jefferson kwamba ilikuwa ni kwa sababu ya kuwawezesha Freemason watawale dunia.

link wwww.crownempire.org/index.php/illuminati/1621-theilluminati-
today/.

Hivi karibuni tulishuhudia kile kinachoitwa Kuyumba kwa uchumi duniani, hata nchi yetu ikatangaza mpango wa kunusuru uchumi wa nchi. Tatizo hili lilianzia Marekani kisha kufuatia nchi za Asia na Ulaya. Huo ni mwanzo wa kushinikiza nchi zote kukubaliana na kile kinachoitwa Global Economic Reform ambapo hatima yake ni kukatazwa kuuza wala kununua kama huna chapa au hesabu ya mnyama wa 666.

1643852167004.png


1643852191745.png


Knights templar cross ambayo leo tunaiona hii (MISALABA) Kwenye mavazi ya viongozi wa dini....​

 
Wazee wa conspiracy..anyway kwani kuna ubaga gani..tukiwa na sarafu moja na dini moja..mana zilizopo hizi nazo sioni tija..mana zimeleta utengano..unafiki na chuki na mapigano.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yatakuja mapuuz humu ambayo hayana references zozote za habar wala hayana facts zozote zaid ya kusema conspiracy theories ama hadith za uongo.

Watu kama haw wapo tangu karne na karne na hawawezi kuisha maana wao ni kama chambo ya wengine kujifunza, ama wao ni kama matomaso ambao wameyatowa maisha yao kupinga kila kitu bila kuwa na evidence za upingaji wao mwisho wao huwa mbaya maana hukumbwa na dhoruba la yale waliyojiaminisha hayapo sas yakawakuta.

Na ndio hawa hawa hata ktk vita za 1&2 ya dunia walikuwepo ktk ile migogoro ya nchi zilizopigana, wao walkuwa wakiita migogoro hiyo ni conspiracy, sas unajuwa nini kiliwapata?

Hata ktk stories za dini utawaona watu hawa wazee wa kupinga pinga wao ndyo walikuwa wadhurikaji wakubwa sabbu ya ubishi wao, hivyo kupinga mafundisho na njia za kujinasua mapema wakakosa sabbu ya kuona wako safe hapa dunian.

Hakuna uhuru&usafe hapa dunian as long as wanaoiongoza dunia ni wanadamu, na ndio wale wale ambao tangu zamani walikuwa wakileta maafa, tofauti ni uzao tu, lkn tabia ni zile zile.

Mambo yaliyozitokea jamii za zamani lazma yatokee hata ktk jamii za sasa maana hakuna jambo lisilo na mwisho, pia ktk kila lifanyikalo lazma kuna cause &effects, so tutarajie results za hizo couses soon japokuwa hawa wapuuzi waitao conspiracy hawaamini.

Inafika muda mtu unakata tamaa ya kuwaelimisha watu wapumbavu wasiotaka kujifunza zaid ya kukaza vichwa vyao, unaamua kuwaacha watakuja kujifunza baada ya kudhurika.

Mtu kutoa muda wake humu kukuandikia mambo ambayo hata mwalimu wako ambaye ulikuwa ukimpa pesa/ada lkn hakukufundisha, em jiulize huyu anaekufundisha mambo haya bure ni Upendo gani kwako?

FOOLISHNESS, tunaishi na jamii za hovyo kabisa.

1643549279114.jpg
 
Wazee wa conspiracy..anyway kwani kuna ubaga gani..tukiwa na sarafu moja na dini moja..mana zilizopo hizi nazo sioni tija..mana zimeleta utengano..unafiki na chuki na mapigano.

#MaendeleoHayanaChama
Kama conspiracy weka nawew tuone points zako, usiwe mwepes kupinga bila evidence,

Hayo ya sarafu moja na dini moja yanakuwa hayana maana kama yanakiuka haki za binadamu, pia yanakiuka haki ya kuabudu.

Kumlazimisha mtu aabudu kitu asichokitaka huo ni ukoloni na udicteta, kuuwa pesa na sarafu za nchi zingine kwa kulazimisha maslahi na pesa za wengine zitawale huo ni udicteta,kwanin wasiache ushindani wa sarafu hizo zenyewe then yenye nguvu ndiyo itawale bila kuforce?

Inaonekana wew ktk mambo haya huna ujualo, so keep quiet
 
Kama conspiracy weka nawew tuone points zako, usiwe mwepes kupinga bila evidence,

Hayo ya sarafu moja na dini moja yanakuwa hayana maana kama yanakiuka haki za binadamu, pia yanakiuka haki ya kuabudu.

Kumlazimisha mtu aabudu kitu asichokitaka huo ni ukoloni na udicteta, kuuwa pesa na sarafu za nchi zingine kwa kulazimisha maslahi na pesa za wengine zitawale huo ni udicteta,kwanin wasiache ushindani wa sarafu hizo zenyewe then yenye nguvu ndiyo itawale bila kuforce?

Inaonekana wew ktk mambo haya huna ujualo, so keep quiet
Wewe ndio huna ulijualo mfia dini..bora tuwe na dini moja..sarafu moja..taifa moja..lugha moja..ustawi wa dunia utakuwepo..haya mengine ni vurugu mechi tu na utengano.

#MaendeleoHayanaChama
 
Amna kitu hapa... Umeshindwa kueleza Hawa jamaa wanamilikije Bank kuu ya Dunia, wao wanatoa wapi hela zote hizo kiasi wanaweza kopesha nchi zote Duniani,? Unasema vikao vingekua vina impact tungekua tumeondokana na umaskini, hivi Tz ya Leo ndo Ile ya Enzi za nyerere, hvi technologia tunayoitumia Leo hapa nchini ndo ileile ya Enzi za mwinyi? Haya mambo ya filmasons yapo Duniani ni kweli, ila bado hayajafanikiwa kiasi icho ulichoeleza
 
Wana unoma gani mhona mfalme phillip wa 4 wa Ufaransa aliwakamata na kuwaua knight templars wote waliokuwa ufaransa baada ya kuona wanamdai pesa nyingi na hawezi kulipa

Huyo jamaa basi alikuwa mnyamwezi
akili ya Cercei Lannister hiyo
 
Back
Top Bottom