duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hawa ndio watu wenye akili duniani, anaingiza billioni 4.8 kwa mwezi kwa kazi ya kulala

    Mrembo Kaitlyn Siragusa maarufu kama Amouranth ni moja ya watu maarufu duniani wanaoingiza pesa nyingi bila kutumia nguvu. Ana followers milioni 3.7 twitter na subcribers milioni 6.4 kupitia mtandao wa Twitch na subcribers laki 9 youtube, anaingiza dola milioni 2 kila mwezi sawa na Tsh bilioni...
  2. JamiiForums Tanzania Bomu la 3 la Nuclear kutumika duniani muda si mrefu

    Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki! MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA! Walisema...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Titanic, Meli nyingine kubwa zaidi duniani ipo tayari kuanza safari zake mwaka 2024

    Utengenezaji wa Meli inayotajwa kuwa kubwa zaidi duniani umekamilika nchini Finland na tayari imefanya majaribio ya kwanza ya safari ndogo kabla ya kukabidhiwa rasmi Oktoba mwaka huu ili mwaka January 2024 ianze safari zake. Meli hii yenye ukubwa wa mita 365 (wastani wa viwanja 3.5) itakuwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Madini ya thamani yaliyofichwa duniani

    Katika miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mijadala kuhusu viumbe vya ajabu visemekavyo ni vyenye akili nyingi kuliko wanadamu ambavyo vinasaidia watu wa mataifa makubwa kufanya mambo makubwa wanayoyafanya. Swali ni je! NENO LA MUNGU LINASEMAJE? "MUNGU Akasema, Na Tumfanye mtu kwa MFANO WETU...
  5. S

    JamiiForums Tanzania World Economic Forum(WEF) na mpango wao wa kupunguza watu duniani kuanzia 2023

    Mnamo wa mwezi wa kwanza, tarehe 19, wanajamii wa WEF walikutana na kujadiliana mambo mengi kuhusu Dunia kiujumla. Ila wakati mmoja, kuna mmojawao akatoa pendekezo la kupunguza watu duniani kuanzia mwaka 2023 angalau kwa asilimia 50. Bill Gates tena amezua gumzo baada ya kuandika katika...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

    Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu. Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa. Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500. Ukiangalia kwenye mapato yao wana...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

    Kama wewe msomaji ungepata uwezo wa 10% tu ya uwezo wa Mungu tunayeambiwa kuwa ana utajiri usio kwisha, ana huruma na upendo ungekubali mtu uliyemuumba (innocent) ateseke kiasi hichi?
  8. JamiiForums Tanzania Kila kitu hapa duniani ni mahesabu ty

    Nakupa salamu sasa,je mnzima wewe?? Mangi shangali.. HESABU ndo kila kitu duniani, chochote kili chopo duniani kipo kimahesabu. Kipindi tukiwa shule ya msingi walimu walitusisitizia sana hesabu,tena tulichapwa fimbo nyingi sana sababu ni hesabu.. Ebu tuingie deep sana...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi duniani itaendelea duniani kama siasa inalipa vizuri kuliko viwanda

    Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake. Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na kuwa mwekezaji" Basi umasikini wa hiyo nchi mkubwa wa kutupwa kwasababu katika hiyo nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

    Mohammed - 133,349,300 Maria - 61,134,526 Nushi - 55,898,624 Jose - 29,946,427 Wei - 17,145,807 Ahmed - 14,916,476 Yan - 14,793,356 Ali - 14,763,733 John - 14,323,797 David - 13,429,576 Li - 13,166,162 Abdul - 12,163,978 Ana - 12,091,132 Ying - 12,047,080 Michael - 11,471,765 Juan - 11,372,603...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni Mabunge yote duniani Mbunge akisimama badala ya kutumia muda wake vizuri ni lazima aanze kumsifia Rais?

    Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge. Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali? Inawezekana Mimi ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Kuongeza Kazi Zenye Hadhi/Staha ni Muhimu Katika Kupunguza Pengo la Usawa Duniani

    Kazi zenye hadhi/staha (decent work) ni kazi zinaofuata misingi ya haki, usawa, usalama, na fursa za maendeleo kwa wafanyakazi. Mpango wa Kazi zenye Hadhi ni wazo lililopendekezwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) na linalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata kazi bora na inayostahili, ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

    English series 1. Game of thrones 2. Prison break 3. Breaking bad 4. Blindspot Korean Drama 1. Jumong 2. A man called god Spanish series 1. Money heist Indian movies 1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan. 2. Baahubali the beginning na the conclusion NB: kama zitatokea kali...
  14. JamiiForums Tanzania DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

    Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae? Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata...
  15. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

    Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika katika kudhibiti kuenea kwa jangwa ni wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo Duniani

    Tarehe 17 Juni ni Siku ya 29 ya Kupambana naKuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Watuwanasema kwamba China ina karata za turufutatu za kujitangaza, ya kwanza ni reli ya mwendokasi, ya pili ni ya usafiri wa anga za juu, na yatatu ni udhibiti wa majangwa. Ikiwa mojawapoya nchi ambazo zimeathiriwa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Kijana wa Kitanzania na soko la ajira duniani

    Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza. Sio kwamba...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mataifa yenye jeshi lenye nguvu kubwa duniani

    Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani: 1. USA 2. Israel 3. Russia 4. China 5. India https://healthygeorge.com/trending/a-list-of-the-worlds-strongest-military-powers-strongestmilitaries-misha-gemini-3/38
  19. JamiiForums Tanzania Manchester City yatajwa kuwa Timu yenye Thamani Kubwa zaidi Duniani

    Man City have been named the most valuable football club brand in the world, after topping the Brand Finance Football 50 report for the first time 🥇 Five other English clubs appear in the top 10: Man Utd (4th), Liverpool (5th), Arsenal (8th), Tottenham (9th), Chelsea (10th) 💪📊 Source: Sky sport
  20. JamiiForums Tanzania Nashauri ianzishwe Kozi ya Bachelor of arts in artifical intelligence (AI) vijana waendande na kasi ya wenzao duniani

    Naomba nieleweke ni Arts sio Science. Kimsingi kasi ya matumizi ya AI karibu katika kila kitu mitandaoni ni kubwa na kuna baadhi ya taaluma zitakufa kifo cha mende. Napendekezwa ianzishwe kozi maalum ya jinsi ya kutumia hii kitu kujipatia kipato katika real life na kuachana na yale mamitaala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…