duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazouza zaidi silaha duniani

    Iliyoorodheshwa: Wauzaji Wakubwa wa silaha duniani. Biashara ya silaha duniani imejikita zaidi miongoni mwa nchi chache, huku Marekani ikiwa mbele sana kuliko wasambazaji wengine wote. Kuanzia mwaka wa 2021 na 2025, Marekani ilichangia 42% ya mauzo ya silaha duniani, zaidi ya mara nne ya mgao...
  2. JamiiForums Tanzania Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hapo vip! Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo. Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake Duniani: DAWASA tutazuia mivujo ya maji mitaani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji. Maadhimisho haya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wanawake Duniani - Ghati Z. Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani 🌸, Kwa Wanawake mliopewa nafasi zenye ushawishi

    Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa. Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
  6. JamiiForums Tanzania Maadhimisho makubwa kama haya ya siku ya wanawake duniani yanafanyikaje mburahati?

    Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mambo yanayoendelea duniani yanaweza kuwaathiri watu hata kama hayafanyiki kwenye nchi yao moja kwa moja.

    Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana. Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana. Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga. Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka. Ilipoingia vita...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa,uchumi na biashara duniani kufikia March 2026

    uchumi na biashara duniani kufikia Machi 2026. 1. Migogoro ya Mashariki ya Kati na Athari zake Ugomvi unaoendelea Mashariki ya Kati umeanza kupiga mifuko ya walaji duniani kote. Mashambulizi ya anga yaliyotokea mwishoni mwa Februari yamesababisha bei ya mafuta (Brent crude) kupanda kwa 13%...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Manyara Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Simanjiro, Sendiga Asisitiza Usawa

    Na Ruth Kyelula, Manyara Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa. Akizungumza na...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?

    Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
  12. JamiiForums Tanzania Itifaki ya viongozi Duniani

  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  14. JamiiForums Tanzania Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu au kufanya haya popote duniani

    1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Amani duniani kawehuka?

  16. JamiiForums Tanzania Yah; Pongezi kwa kutangaza bendera yetu kama “chapa ya cocaine” duniani

    Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania kukamatwa El Salvador 06.02.2025 ikiwa na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu za jinsi cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wetu bila ninyi kufahamu Je...
  17. JamiiForums Tanzania Muda wa wastani wa tendo la ndoa Duniani: Ecuador yaongoza wanatumia dakika 24, Pakistan ya mwisho wanatumia sekunde 42

    Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
  18. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Machi 8, hatutasherehekea mafanikio ya Mwanamke Duniani, mioyo yetu bado inavuja damu, Oktoba 29 imeacha kovu

    HOTUBA YA KIONGOZI WA WANAWAKE - ACT WAZALENDO KWA WAANDISHI WA HABARI NA TAIFA Kauli Mbiu: Machozi ya Mama – Deni la Taifa UTANGULIZI NA SALAMU YA CHAMA Ndugu Waandishi wa Habari, na Watanzania wenzangu mnaonitazama na kunisikiliza, Nawasalimu kwa salamu ya chama chetu: TAIFA LA WOTE...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania 'El Mencho' auawa huko Mexico. Ni bosi wa cartel aliyekuwa kiongozi wa kundi la wahalifu maarufu

    22 February 2026 Jalisco, Mexico Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026 https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0 Nemesio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…