dunia

  1. JamiiForums Tanzania Kama watafanikiwa kuzaana sana, wachina watachukua dunia kirahisi

    Hamjamboni wanangu jamvini? Nina suala linanisumbua hasa kwa wale ambao bado ni vijana. Kwa sasa, mamlaka nchini China zimeruhusu wachina kuzaa watoto watatu kila familia. Kabla ya hatua hii, walikuwa wanaruhusiwa kuzaa watoto wawili baada ya kuwa na sera ya mtoto mmoja kwa miongo mingi...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa mnene unakula sana; ukiwa mwembamba una roho mbaya. Dunia inataka nini?

    Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi. Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani? Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.
  3. JamiiForums Tanzania Mungu anapitisha kisulisuli, anaisafisha dunia.

    Habari wanakamati! Naomba muungane nami kuupata huu ujumbe. Mungu anaisafisha dunia, na kila bonde litasawazishwa, kila kilichotukuka kinashushwa, kila anayeigiza utakatifu atafyekwa. Hii dunia inasafishwa sasa. Ujumbe tayari. Mithali. 10:25 Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena.
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ijikite kukusanya kodi, iachane na mikopo ya kubembelezewa na Benki ya Dunia kuhusu COVID 19

    Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo. Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

    Wandugu, Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya Muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu. Wakati wa uhai wake bwana Mzindakaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo kuwa mbunge wa Sumbawanga kwa...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

    Mmiliki wa kampuni ya songoro Marine amefariki Dunia akiwa mkoani Mbeya Mwananchi limeripoti.
  7. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

    Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, na kujenga dunia yenye hatma ya pamoja ni msingi wa China katika kushughulikia suala la mazingira

    Kwenye mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa uliofanyika Septemba 2020, Rais Xi Jinping aliushangaza dunia kwa kutoa ahadi kuwa China itafikia kilele cha utoaji wa carbon mwaka 2030, na kuanzia hapo itapunguza kiwango hicho hadi kufikia 0 mwaka 2060. Wataalamu wanakubaliana kuwa China ni moja...
  9. JamiiForums Tanzania TANZIA Vicky Nsilo Swai mwenye historia ya kuhifadhi viatu vya Hayati Mandela kwa miaka 33 afariki dunia

    Mama Vicky Nsilo Swai mwenye historia ya kuhifadhi nyumbani kwake viatu vya mpigania uhuru wa Afrika ya kusini hayati Rais Nelson Mandela mwaka 1962 amefariki dunia. Pia soma - https://www.jamiiforums.com/threads/vicky-nsilo-swai-i-kept-mandelas-boots-for-33-years.566731/ Rais wa kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania IMF: Tsh. Trilioni 115.9 zinahitajika kutoa chanjo ya covid19 dunia nzima

    Shirika la Fedha Duniani(IMF) limeandika muswada wa kuitokomeza kabisa COVID19 ambao utagharimu dola bilioni 50 sawa na Tsh. Trilioni 115.9 Imebainika kuwa hadi sasa ni 2% ya waafrika waliopata chanjo, ambapo nchi zilizoendelea zimetoa chanjo kwa watu wengi. ,arekani imeshatoa chanjo kwa 40% ya...
  11. JamiiForums Tanzania Irudie asili yako, wewe ni mkuu wa hii Dunia

    Tukiwa wadogo tulishika tofari mkononi tayari kwa kujitwisha kichwani safari kuanzisha. Tulipita kwenye hii Hatua, ilikuwa ni kipindi tunatafuta Hela ya daftari na kalamu, uku mama akiwa mstari wa mbele kunipa Moyo. Mwanangu utafanikiwa tu na wewe usijali, "soma mwanangu soma" Na leo tupo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mke wa Clatous Chama afariki dunia

    Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia. === #ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife Mercy Mukuka Chama. Our thoughts and prayers are with Chama and Mukuka's family.
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Rubani aliyetorosha ndege baada ya kuvunjika EAC, Captain Narzis Mapunda afariki dunia

    Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda. ===== Mwaka 2019 Kapteni Mapunda ambae ni rubani mstaafu alitunukiwa tuzo na Rais Magufuli kwa uzalendo wa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika iliyokuwa Jumuiya ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dola bandia kutoka Korea Kaskazini zilivyosambaa duniani na kutumika kwa zaidi ya 20 bila kujulikana.

    Dola bandia zilizotumika kwa miongo miwili na kupumbaza dunia Noti hiyo ya dola bandia haikuwa na makosa yoyote na hata maafisa wa kitengo cha ujasusi hawakuweza kubaini iwapo ilikuwa dola bandia ama nakala mbele yao. Ni baada ya kipindi kirefu cha uchunguzi ndiposa waliweza kuthibitisha...
  15. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Israel na Palestina ndio utakaohitimisha dunia

    MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA NDIO UTAKAOHITIMISHA DUNIA. Leo 11:15hrs 22/05/2021 Nianze kwa angalizo,ugomvi wa Palestina na Israel ni wa mapacha wawili toka wakiwa tumboni mwa Mama yao kabla ya kuzaliwa,Mapacha hao ni Esau na Jacob,sababu ya njaa Esau aliuza haki ya mzaliwa wa kwanza kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mataifa ya kiarabu yadai wao kukaa kimya imesaidia dunia kuwa na amani

    Yeereeeeeh! Mataifa ya kiarabu pamoja na Iran yamejitetea na kudai kukaa kwao kimya kwenye mzozo kati ya Israel na Hamas ni kwasababu wanataka amani itamalaki duniani. Wanasema laiti wangeingilia kati sasa hivi kusingekalika na kuchimbika na Israel kufutika mara moja. Sasa hivi wanamtumia...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Jenerali Tumainiel Kiwelu afariki Dunia, kuzikwa Mbezi Loius Dar

    Jenerali Tumainiel Kiwelu amefariki tarehe 18 Mei 2021 na atazikwa shambani kwake Mbezi Luis Dar es salaam tarehe 22 May 2021 Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe. Pia soma - Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu
  18. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hassan Bantu afariki Dunia

    Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kuugua kwa muda mfupi: Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo. Katika kipindi chake, Bantu amekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Dunia hii bado kuna ufalme wa kurithishana vyeo na habari za uzao bora (noble birth)

    Duniani kote hii ishu bado haijaisha. Ilifikiriwa juwa labda demokrasia itafanya watu wapewe vyeo vya kiasiasa kutokana na uwezo na si uzao wai lakini hili bado halijatokea. Ukiangalia kwenye vyeo kuanzia ubunge, uwaziri, ukuu wa mikoa, wilaya nk utakuta kuna proportional kubwa sana ya uzao wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Habari wadau..! Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..? Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza . Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…