Ee bwana ee!
Juzi kati katika hali ya kupita pita hivi niko na mchizi wangu, si tukajikuta tumetulia eneo flani tunapiga stori na mrembo flani wa kishua huku tukimwagilia moyo.
Nikawa najipigia zangu stori tu kiaina, mara pap! Mchizi kaniita pembeni kanipiga na kitu cha "Huyu sista anakufeel...