dunia

  1. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia

    Nachojiuliza ni kwanini Uganda, Mozambique na Gabon zipo kw hii organization ya Waislamu wakati idadi yao ya waislam ni chini ya asilimia 20% na Central African republic pia observer ila pop yao chini ya 20% kama Urusi.
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Siku ya afya Dunia 07 April 2024

    Siku ya afya Duniani
  3. L

    JamiiForums Tanzania NATO inaigeuza vita ya Russia na Ukraine kuwa vita ya dunia

    Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg hivi karibuni alifanya ziara nchini Marekani, lengo likiwa ni kujadili mwendelezo wa kuiunga mkono Ukraine na kuhakikisha mwendelezo wa upatikanaji wa silaha kwa Ukraine, wakati vita kati ya nchi hiyo na Russia ikiendelea. Hii inajumuisha kuridhiwa kwa...
  4. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Polisi: Watu 15 wafariki dunia kwa kusombwa na maji kuanzia Aprili 1 - 7

    TAARIFA KWA UMMA Kuanzia Aprili 1,2024 hadi Aprili 7,2024 watu 15 wamefariki dunia kutokana na kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha, wengine wakiwa wanaogelea, wengine wakiwa wanavuka maeneo ambayo maji yanatiririka kwa kasi na wengine kutokana na kutumbukia kwenye mashimo/madimbwi...
  5. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Dunia iliishia 1999

    Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio salia walipata athali kubwa sana kiafya ulemavu na ukame uli jaa sababu ardhi haikuweza kustawi tena...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Yanga ingesonga mbele, ingeshiriki Klabu bingwa ya Dunia ya FIFA, kila mshiriki anapewa Dollar Milioni 50 kwa kushiriki tu

    Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nini kesho ya mbuga ya Selous?

    'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?' Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi nguli wa maudhui ya kiingereza, Zephania Ubwani afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua ghafla wakati akiwa katika majukumu ya kikazi katika Hoteli ya Kibo...
  9. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Malu Stonch (Nuhu) afariki Dunia. Alikuwa akitumbuiza jukwaani

    Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija". Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch...
  10. bahati93

    JamiiForums Tanzania Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

    Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao. Kisa cha kwanza punda kuongea. Baalam wakati wana wa Israel wametoka Utumwani misri wanaelekea taifani mwao waliweka kambi pembezoni mwa mto jordan eneo la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inawapendelea zaidi wenye pesa kama huna utahisi kuonewa mara zote, hii ni asili ya dunia

    KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔 Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli . Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna mambo tunasema ni mpango wa Mungu ila waathirika wakubwa hata kwenye hayo mambo huwa ni Maskini...
  12. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kukosa furaha jaribu kufuatilia mambo ya watu

    Habari wanajf! Basi kama kawaida yetu kujadili na kupeana mawili matatu, basi leo nakuletea mambo yaliyopo duniani ambao kwa 99% ndio uhalisia. Hii ni tafiti yenye ushahidi wa kutosha, mambo hayo ni; 1. Ukitaka kukosa furaha jaribu kufuatilia mambo ya watu, kama kufuatilia imani za watu...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara. Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kocha wa zamani wa Simba, Dkt. Adel Zrane afariki Dunia

  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

    Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa. Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo, ila hekima miongoni mwao ni sifuri kabisa. Wakiwa kwenye hii funga yao basi watatangaza dunia nzima...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike. Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
  18. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wanariadha 9 Kuliwakilisha Taifa kwenye Mashindano ya Dunia ya Nyika, Belgrade Nchini Serbia

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na Kocha mmoja wanaokwenda kwenye Mbio za Dunia za Nyika Huko Belgrade, Nchini Serbia. Rais amekabidhi...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Anywa sumu akiwa kituo cha polisi na kufariki dunia

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha. Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa hii Dunia ni MUNGU, ila shetani kajizolea kijiji chake cha watu wenye nguvu yenye ushawishi

    Mkuu wa dunia hii ni MUNGU wa mbinguni, ila asilimia kubwa ya watu wanamuabidu shetani na Mungu anepewa kisogo. Ngoja nikueleze kitu. Kuna vitu vya kwanza kabisa ni lazima uviwahi ili uiteke hii dunia. Shetani kapiga bao kubwa kwa sababu vitu vyote katika dunia hii, vile vikubwa amevishikilia...
Back
Top Bottom