dunia

  1. Benki ya Dunia yaipa Tanzania Mkopo wa Tsh. Bilioni 238, kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia nchini

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia (WB) wamesaini mikataba miwili (2) yenye thamani ya dola za Marekani milioni 104, sawa na takriban shilingi bilioni 248, kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia nchini Tanzania, maarufu kama “PAMOJA”. Hafla ya utiaji saini wa...
  2. TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  3. Benki ya Dunia yashusha Makadirio ya Uchumi wa Kenya kutoka 5.0% hadi 4.7%

    Ripoti ya Makadirio ya Ukuaji wa Uchumi ya Benki ya Dunia (WB) imeonesha Uchumi wa Kenya utashuka katika Ukuaji wake kutoka 5.0% ya makadirio ya awali hadi 4.7% ambapo Mafuriko, Maandamano dhidi ya Serikali na Juhudi hasi za Uimarishaji wa Uchumi vikitajwa kuathiri ukuaji huo. Pia, ripoti...
  4. TANZIA Mchekeshaji Frank Patrick (Molingo) afariki dunia

    Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi. Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi...
  5. Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
  6. Tanzania kupewa Tsh. Bilioni 779.9 kutoka Benki ya Dunia kwaajili ya utekelezaji wa Mradi wa TASAF

    Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( @tasaf.tanzania ) ambayo inatajiwa kutekelezwa baada ya kukamilika kwa Awamu ya Pili ya...
  7. Mtendaji wa Kijiji aliyedaiwa kupanga wizi wa kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa adaiwa kuhama chini ya Ulinzi wa Polisi

    Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii! Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura katika kijiji hicho na hadi leo hakuna aliyetangazwa mshindi! Yaani @ccm_tanzania ijiandae kwa...
  8. Nafsi Jiwe Mwili Binadamu Hadaa ya Dunia kwenye Mapenzi

    Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango. Mimi sio mwenyeji wako umekuja kibiashara ondoka kibiashara, Binadamu ni mwili sio nafsi. Ondoka kama ulivyokuja sina muda. Ubwela...
  9. Waliokufa Vs Waliohai; Sehemu ambazo hazijaguswa tangu dunia kuumbwa

    Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo. 1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia. 2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ? 3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu...
  10. G

    Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  11. Papa Francis, apewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme peke kuhimiza matumizi ya teknolojia rafiki kwa dunia

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amepewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme pekee likiwa ni gari la kwanza la aina yake kutengenezwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya Kiongozi huyo ambapo hatua hiyo inayoonyesha azma ya Vatican kulinda mazingira na kuhimiza matumizi...
  12. Nchi za Marekani na Urusi zina mabomu ya nyuklia ya kutosha kuua viumbe hai vyote kwenye ardhi ya dunia hii

    Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima na Nagasaki, nguvu za silaha hizi zimeongezeka sana. Hata hivyo, maelezo ya nguvu hizi na athari...
  13. Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

    Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...
  14. Usipoteze tumaini, dunia ndivyo ilivyo

    Ni imani yangu sote tu wazima, nina kila sababu leo kuongea na vijana wenzangu. Sote tunafahama hali ya maisha, vita ya kulipigania tumbo ni vita ngumu zaidi kuliko ile ya kusaka utajiri. Ni kama ile vita ya kupigania uhai, unapambana ii uendelee kuitwa kiumve hai. Kwa mara kadhaa nimekuwa...
  15. Inawezekana vibwengo ni viumbe wageni kutoka sayari nyingine(aliens) wanaozuru duniani

    Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo. Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa viumbe wanaodaiwa kuonekana na uchawi, tatizo kubwa Waafrika mambo mengi yasiyoeleweka huwa...
  16. KWELI Dunia ni Duara na siyo diski tambarale

    Kumekuwa na maswali Mengi kuhusu safari za Ndege kwanini hazisafiri kufuata straight line kutoka bara moja kwenda jingine? Na hivyo wataalamu wa mambo kuja na theory ya dunia ni flat( kama sarafu ya mia mbili inapokuwa chini) Naomba mnisaidie kwenye uhakiki.
  17. Kama sisi ndiyo tuliletwa kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe?

    Aisee kama mwanadamu ndiye ameletwa kuja kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe kama nyoka,simba,chuo,tempo na baadhi ya viumbe? Na kwanini? Napatwa na hasira nyingi kujiuliza kwanini tunavihofia viumbe vingine? Mamba hana akili lakini kwanini tumuogope kiumbe asiye na akili? ?????
  18. 15 wafariki dunia, zaidi ya 100 hawajulikani walipo maporomoko ya udongo Uganda

    Watu 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kuharibu makazi katika vijiji kadhaa mashariki mwa Uganda, wilayani Bulambuli jana Novemba 28, 2024. "Kuna vifo vya watu 15 na tuna hofu kuwa bado kuna miili mingine mingi...
  19. M

    VIDEO: Dunia ilivyoumbwa

    Sikiliza vizuri msomi
  20. Vita ya tatu ya Dunia (WWIII) wewe upo upande gani

    Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi kirahisi. Haya twende Marekani, Biden na Umoja wa Ulaya ni kitu kimoja kama Biden akiondoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…