Duniani ni mahali tunapoishi na pamebeba historia yetu kubwa,maendeleo yetu ktk nyanja zote yamepatikana hapa, upuuzi na uelevu wote tulionao tunautendea hapa!,hapa ni nyumbani.
Binafsi kwangu mimi hivi sasa ni muda muafaka wa dunia kuwa pamoja!,hakuna ambacho hatukijui kuhusiana sisi kwa...