Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Leo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.

Nakumbuka siku hiyo nimeitwa kwenye interview kulikuwa na watu 10. Maprofesa 5, Phd Holders 3 na ma CEOs wa Makampuni makubwa Duniani 2.

Interview ilianzia Kenya,ikaenda South Africa,Ikaenda Egypt, ikahamia Ulaya na Marekani.

Pale Kenya ndo walinichoka. Waliniuliza kwa nini tukuchague wewe na si wengine.

Niliwarekebisha kwanza. Nikawaambia siyo wao wanichague. Mimi ndo niwachague kufanya nao kazi.

Jamaa walishtuka Mmoja akauliza kwa nini. Na kumbuka hili ni shirika la Kimataifa la fedha Duniani.

Nikawaelezea CV yangu ni kubwa sana. Prof mmoja akasema nimpelekee. Nikampelekea. Akanambia "Siyo kitabu nipe CV yako" nikamwambia ndo hiyo. Akasema hapana. Akafungua akakuta kuna pages 200.

Wakasema niwape muda wajadiliane mambo. After 10 mins wakaniita wakanambia wameamua nijielezee.

Nlianza jielezea saa 3 ile mpaka saa 6 nawaeleza Makampuni ambayo nimefanya nayo kazi na pia Elimu yangu. 3 hours wakanambia nipumzike kwanza nao wapate break.

Baadaye waliponiita wakasema nimebakiza kama muda gani. Nikawaaambia masaa kama 6 hivi ndo nimalize. Wakanijibu niachane nayo wameshanielewa.

Basi nikawaambia waniulize maswali.wakawa hawana wanatizamana tu usoni na kila mtu naona alikuwa busy kuandika nliyokuwa naongea. Nlikuwa kama nawapiga lecture.

Saa zima nawasubiri waniulize maswali wanategeana. Nikawaambia basi niwaulize mimi maswali. Wakagoma kabisa.

Wakasema suala langu niende nikajadiliane na watu wa South Africa, kule wakasema niende Egypt kule wakasema niende nchi kadhaa za Ulaya, wakanisukumia China,wakanirudisha USA. Huko ndo wakaniuliza kwa nini kwa ile CV nmeamua kufanya kazi nao maana wanaona kama hakuna Shirika Duniani linaweza ni hire.

Nikawaambia ni mapenzi tu kutaka isaidia Dunia wakaniomba niwatajie nataka nilipwe Usd ngapi. Ila wakanisihi sana nisije nikatamka kubwa mpaka wakanikosa.

Basi ndo Kuajiriwa. Sikai sana Ofisin mara ILO wanataka kunitumia, mara IMF mara WHO, mara UNHCR, mara UN, mara AU yaani nimejikuta tu kila sehemu wananitaka. Ukiacha Apple, Bill Gates, Warren Buffet, Ali Baba, Amazon ambao wao hutaka nifanyie tu Consultation. Wananilipa kwa sekunde.

Matajiri na baaadhi ya wasomi wakubwa Duniani wananambia bwana mdogo kwa hii CV labda ukaombe kazi Mbinguni tu. Huku Duniani ni kama tunakupunja. Halafu mpaka kitakosekana cha kukupa changamoto.

Huwa siwajibu kitu. Natabasamu tu coz nipo very Humble. Leo wananishangaa kuwa Why nakuja ishi nchi ya Dunia ya Tatu. Wakati ngeungana na watu flani flan tungeweza hata enda Ishi Mwezini huko. Au hata Mbinguni.
 
Leo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.

Nakumbuka siku hiyo nimeitwa kwenye interview kulikuwa na watu 10. Maprofesa 5, Phd Holders 3 na ma CEOs wa Makampuni makubwa Duniani 2.

Interview ilianzia Kenya,ikaenda South Africa,Ikaenda Egypt, ikahamia Ulaya na Marekani.

Pale Kenya ndo walinichoka. Waliniuliza kwa nini tukuchague wewe na si wengine.

Niliwarekebisha kwanza. Nikawaambia siyo wao wanichague. Mimi ndo niwachague kufanya nao kazi.

Jamaa walishtuka Mmoja akauliza kwa nini. Na kumbuka hili ni shirika la Kimataifa la fedha Duniani.

Nikawaelezea CV yangu ni kubwa sana. Prof mmoja akasema nimpelekee. Nikampelekea. Akanambia "Siyo kitabu nipe CV yako" nikamwambia ndo hiyo. Akasema hapana. Akafungua akakuta kuna pages 200.

Wakasema niwape muda wajadiliane mambo. After 10 mins wakaniita wakanambia wameamua nijielezee.

Nlianza jielezea saa 3 ile mpaka saa 6 nawaeleza Makampuni ambayo nimefanya nayo kazi na pia Elimu yangu. 3 hours wakanambia nipumzike kwanza nao wapate break.

Baadaye waliponiita wakasema nimebakiza kama muda gani. Nikawaaambia masaa kama 6 hivi ndo nimalize. Wakanijibu niachane nayo wameshanielewa.

Basi nikawaambia waniulize maswali.wakawa hawana wanatizamana tu usoni na kila mtu naona alikuwa busy kuandika nliyokuwa naongea. Nlikuwa kama nawapiga lecture.

Saa zima nawasubiri waniulize maswali wanategeana. Nikawaambia basi niwaulize mimi maswali. Wakagoma kabisa.

Wakasema suala langu niende nikajadiliane na watu wa South Africa, kule wakasema niende Egypt kule wakasema niende nchi kadhaa za Ulaya, wakanisukumia China,wakanirudisha USA. Huko ndo wakaniuliza kwa nini kwa ile CV nmeamua kufanya kazi nao maana wanaona kama hakuna Shirika Duniani linaweza ni hire.

Nikawaambia ni mapenzi tu kutaka isaidia Dunia wakaniomba niwatajie nataka nilipwe Usd ngapi. Ila wakanisihi sana nisije nikatamka kubwa mpaka wakanikosa.

Basi ndo Kuajiriwa. Sikai sana Ofisin mara ILO wanataka kunitumia, mara IMF mara WHO, mara UNHCR, mara UN, mara OAU yaani nimejikuta tu kila sehemu wananitaka. Ukiacha Apples , Bill Gates, Warren Buffet, Ali Baba, Amazon ambao wao hutaka nifanyie tu Consultation. Wananilipa kwa sekunde.

Unaenda kwenye interview,unaanza kuwapangia wanaokufanyia usaili? Hiki kichaa dawa haiwezi kupatikana hapa duniani
 
Leo ndio nimeamini ww ni mtu wa chai...
na majani ya chai jaba bora ungeendelea na story zako za uongo na ukweli za magari......hii ya leo ni tea tupu...
 
Back
Top Bottom