dukani

  1. M

    Uchawi wa kupeperushwa unaosahaulisha mtu kuhamia nyumba iliyokamilika, kusahau kiwanja, kuhesabu mzigo wa dukani, kusahau deni, n.k

    watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
  2. Mbepo yamba

    Tutasherehekea uhuru kesho kwa kunyimwa hata uhuru wa kwenda dukani. Tunaupataje uhuru?

    Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru. Ndo tunavyoweza kusema. Mkoloni aliondoka na bendera yake kushushwa ila tukapandisha bendera ya mkoloni mpya katili zaidi. Huyu sasa ametufanya tusherehekee kuwa huru kwa kutufunga kabisa hata hatua zetu. Tunatokaje hapa sasa tusipotoka kesho kuusherehekea...
  3. M

    Kibinadamu ilinibidi nilimrudishe binti wa dukani baada ya kujifungua lakini kibiashara nahisi nilikosea heri ningempa mtaji

    Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k. Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
  4. B

    GE2025 Tunasubiri kuona leo mzima swichi atakuja na surprise gani, mtoto hatumwi dukani!

    Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake. Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao wafanye yao😂😂. Maji nayo yangekuwa yanachangia kwenye kujazia bando yangekata, na utakuta system zote za...
  5. U

    Pichani mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize akiwa dukani kwake akiomba wananchi wamuungishe

    Mfike Kuungisha Wananchi🙏
  6. Heritage123

    MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  7. Dogoli kinyamkela

    Waliozaliwa mjini watahisi hapo ni dukani

    Walio zaliwa mjini atahisi hapo ni dukani
  8. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  9. Fufua Tumaini Jipya

    Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  10. Logikos

    Nataka kuwapiga Tariff Mangi (Dukani) na Dada Poa; Nimegundua Nanunua sana kwao kuliko wao Kwangu

    Ni kama utani ila ukiangalia ndicho kinachotokea sasa; dunia imeanza ku-equate International Trade kama ni Zero Sum Game yaani Pesa nilizotumia kununua bidhaa zako dhidi ya pesa ulizotumia kununua bidhaa zangu na sio faida gani nimepata kwenye uhusiano wetu... Ni kweli dada poa hajawahi kunipa...
  11. Just Pray

    Makete: Vijana wachoma moto Jeneza la marehemu wakidai kutokea kwa vifo tata kwa vijana wanaoenda kufanya kazi Dar

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
  12. Mchochezi

    Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

    Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
  13. Stability

    Leo nimeota kaja dukani kwangu

    Aiseeeh, kichaa kaja tu dukani sikumbuki vurugu yoyote aliofanya despite ile kutokuwa comfortable na ujio wake Hii inaweza kuwa inamaanisha nini. Maana napitia kipindi kigumu sana katika biashara yangu Bado na majanga ya haya...
  14. biznes_dealz

    Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani

    Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani -Haitumii wino wala haijazwi wino -Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote. -Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
  15. ELI COHEN

    Yani unakuta mzigo dukani wa milioni 5, kupamba duka milioni 8, Huduma 0 milioni, Utofauti 0 milioni. Hii ndio hali ya biashara nyingi za kisasa.

    Yani inafika wakati hauna varieties tofauti dukani ila duka lilivyopambwa sasa, mteja akija ana shangaa shangaa tu mataa ila bidhaa hauna. Sasa ndio nini. Inapelekea hadi wale watu wa kawaida kuogopa kuingia kwa kuhofia bei ni mkasi kwa maana goli lenyewe limekaa kama 5-star hoteli. Kumbe ni...
  16. G

    Unapodai risiti dukani na kupewa yenye kiasi pungufu kuliko hela uliyolipa unachukua hatua gani ?

    Dukani unaambiwa bidhaa ni kiasi flani na unalipia unawakumbusha risiti, wanakutolea yenye kiasi pungufu
  17. A

    Biashara ya usambazaji bidhaa za dukani.

    Habari wakuu, Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla kutafuta oda za vitu mbalimbali ili uweze kumpelekea mteja. kwa ufupi Ni Kama distributor lakni Katka...
  18. Waufukweni

    Jamaa adata na mwanamke aliyekuwa dukani, aingia na kuanza kupiga punyeto, anaswa na CCTV akijidharirisha

    Wakuu Tukio la kushangaza kutoka Kenya limekuwa gumzo mitandaoni baada ya video ya CCTV kuonyesha mwanamume akifanya kitendo cha aibu ndani ya duka huku akimwangalia mwanamke aliyekuwa dukani hapo. Jamaa huyo alinaswa akipiga Punyeto, kitendo cha kujiridhisha waziwazi, jambo lililowafanya...
  19. Miss Natafuta

    Dukani kariakoo live:simu,TV,majiko,vifaa vya simu na computer.bei jumla

    Naomba mods msifute hii thread yangu Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa Nauza jumla na rejareja Karibuni sana. Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei...
  20. N

    Natafuta binti wa Dukani

    Natafuta binti wa kuuza dukani, ni duka la vyakula, pamoja na mpesa hapo hapo. Awe mzoefu, mchapakazi, mwaminifu na mwenye kujua hesabu. Biashara ipo Arusha. Kwa maelezo zaidi, piga namba 0752413013.
Back
Top Bottom