Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,604
- 4,518
Walio zaliwa mjini atahisi hapo ni dukani
Nimechekeshwa na hayo magunzi. Sasa si yangewekwa hata kwenye kapu bovu kuliko kuwekwa chini namna hiyo?Walio zaliwa mjini atahisi hapo ni dukanView attachment 3353388
Ayo n kwaajili ya kusugulia miguu n makucha😂😂Nimechekeshwa na hayo magunzi. Sasa si yangewekwa hata kwenye kapu bovu kuliko kuwekwa chini namna hiyo?
Mtu wa kisasa akiyatumia hayo anaweza akapatwa na bawasili fasta au anaweza akajimenya ngozi kama vile kumenya ngozi ya ndani ya firigisi ya kukuAyo n kwaajili ya kusugulia miguu n makucha😂😂
Mtu wa kisasa akiyatumia hayo anaweza akapatwa na bawasili fasta au anaweza akajimenya ngozi kama vile kumenya ngozi ya ndani ya firigisi ya kuku
Mnatufanya tujisikie Kinyaa,hivi kumbe kuchambia magunzi ni kitu halisi?
At nn😂😂😂Hapo ni mchamba wima...
Hahaha 😂🤣Tuliotumia mchanga kwa Staili ya Kipa wa Zamani wa Tp Mazembe tunacomment wapi?