dukani

  1. J

    Kwani gari Toyota VX "Geita Model" ni bei gani dukani? Na taratibu za manunuzi serikalini zikoje?

    Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
  2. GENTAMYCINE

    Mkiwa mmekaa zenu Maskani halafu Mama akampa Mtoto Hela akanunue Kitu Dukani kisha akiwaona anampa Maelekezo haya Mtoto huwa anamaanisha nini?

    Unakuta mmekaa zenu Maskani ( Kijiweni ) tena hasa Kipindi hiki Joto lililopo Jiji na Kune Boy ( Dar es Salaam ) ili mlipunguze Mwilini mwenu unakuta Mama anamtuma Mtoto wake Dukani kununua Kitu lakini akiwaoneni tu nyie mmekaa anaongea kwa Msisitizo na Sauti ya juu kabisa huku akiyasema haya...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini Waarabu na Wahindi wao huwa hawapendi kuwa na mahusiano na Wafanyakazi wao Dukani au Ofisini, ila kwa Waafrika ni jambo la kawaida sana?

    Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi...
  4. yuda75

    ulishawai kununua bidhaa dukani badae ukagundua umepigwa pia nifeki

    wadau habarini mi nimenunua mzgo flani bana nimejitapa nao kweli sasa nimegundua kumbe ishu ni feki na nimepigwa mana inauzwa laki 3 mi nimetoa 4 na nusu najisikia vibaya sana tuweni makini ujinga na ushamba mbaya
  5. LIKUD

    Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana. Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma. Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
  6. cleverr

    Biashara ya nguo za dukani

    Habari, Naomba nipewe 1,2,3 kuhusu biashara ya nguo za dukani (kijijini kwetu tunaita special). Nahitaji kuchukulia Dar - Kyela border. Naomba kujua profit, cost, TRA. Binafsi nimekomaa mpaka mwisho nimepata 1M. NB: Fremu ipo free, ni yangu. Mchango wa mdau
  7. H

    Leo mtoto hatumwi dukani: Yanga vs Mtibwa Sugar

    Leo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja wa Taifa si yakukosa. Nini maoni yako kwenye game ya leo?
  8. R

    Natafuta Mzani bora wa kupimia nafaka dukani

    Salam wakuu, Ni aina ipi ya mzani yenye ubora wa juu kwa ajili ya kupimia vitu kwenye duka la reja reja? Nazungumzia mzani mdogo wa kilo 20 kushuka au 15 kushuka chini.
Back
Top Bottom