Duka Lipi Ntapata Vifaa Vya Washing Machine.

Kaunara

Senior Member
Feb 4, 2013
138
106
Habari wadau! Naulizia duka lipi ntapata vifaa vya washing machine kwa Dar. Nashukuru sana.
 
Nenda pale Makumbusho kuna duka la Hisense wanauza na kufanya repair. Kupitia wao unaweza pata connection ya unachokitaka
 
Back
Top Bottom