Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za afya. Mwigulu amehoji duka la dawa linaweza kupata wapi dawa ambazo serikali haina?
Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Baada ya kutoka kwa Shishi Food, sasa timu imetua kwa Billnass!
Wananchi wameenda kumsalimia na duka lake kubakishiwa majivu. Safari ya kwenda kusamia chawa inaendelea mpaka wote warudishe akili zao.
Baada ya hapa heshima itarudi, hakutakuwa na uchawa wa kuduanzi kutetea mambo ya kipuuzi.
On...
Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
Habari, za wakati huu wana Jf,
Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo:
1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY
Kama...
Habari?
Niende moja kwa moja kwenye point...
Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk...
Kwa upande wa location nipo...
“Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.”
— Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019.
KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO
Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni hii ndiyo itakayo kuthibitishia kisheria kuwa unaruhusiwa kufanya biashara na pia inaleta uaminifu...
SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL – Ni Mfumo wa Kisasa wa Mauzo na Manunuzi kwa Biashara za Rejareja na Jumla.
MUHTASARI WA MFUMO:
Mfumo wa Shared Duka Enterprises Portal ni suluhisho la kidijitali linalorahisisha usimamizi wa biashara yako. Ukiwa na mfumo huu, unaweza kuuza, kununua, kutunza...
Mfumo wa SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL ni suluhisho kamili la biashara yako:
1. Mauzo & Manunuzi
2. Hisa & Uhamisho
3. Ripoti & Risiti
4. Wateja & Wasambazaji
5. Watumiaji na Ruhusa
6. Web-based (Popote ulipo)
7. Mfumo umekuwa integrated na SMS, MAILS
8. Mfumo unaweza kuwa integrated na MPESA...
Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga.
Faida unazopata ukiwa...
Anahitajika mfanyakazi mdada wa duka la viatu , duka lipo mwananyamala , Awe anauwezo wa kutumia mitandao kujitangaza na pia awe mchangamfu . Mshahara kuanzia 150K . SMS /whatsapp 0754200363
Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu.
Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja.
Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona umewaelekeza kwa fulani kesho anaweza kwenda kwa huyo na kinapokwisha mteja anaweza kuuliza kinapatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.