dubai

  1. The Mongolian Savage

    Dubai kwisha!

    Dubei ndio hivyo tena kwiiisha. Dubai is finished. Wahamiaji matajiri expats wanaikimbia Dubei. Nyumba zimeshuka thamani 69%. Biashara haziendi. Madereva teksi hasa kutoka Pakistani, India na Bangladesh nao wanataka kurudi nyumbani hamna biashara ni njaa. Ukilinganisha na Dubei hawazalishi...
  2. upupu255

    SI KWELI Tukio hili ni la kweli limetokea Dubai?

  3. Mkalukungone Mwamba

    Watanzania 236 waliokwama Dubai kutokana na vita vinavyondelea kati ya Marekani Israel na Iran warejeshwa nyumbani

    Takribani Watanzania 236 waliokuwa wamekwama nchini Dubai kutokana na hali ya usalama Mashariki ya Kati wamerejeshwa nyumbani salama. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilituma ndege maalum ya gharama nafuu kufuatia mivutano ya kivita kati ya Marekani, Israel, na Iran iliyosababisha mashirika...
  4. Traxtion

    Drones za Iran zavamia Dubai International Airport

    Leo, March 1 2026 Video inaonyesha uharibifu ndani ya jengo la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya shambulio la droni kutoka Iran kuwajeruhi watu wanne. Ofisi ya mawasiliano ya Dubai Airports imesema timu za dharura zilikuwa activated mara moja kwa kushirikiana na...
  5. Cute Wife

    ATCL yasitisha safari za Dubai mpaka watakapotangaza tena kutokana na kinachoendelea Mashariki ya Kati

    Wakuu, Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
  6. kali linux

    Iran kwa nini wanashambulia hadi Dubai? Je watapata wanachokitafuta?

    Daah hii balaa sasa, BBC imeripoti kwamba The Palm ya Dubai imeshambuliwa na Iran media zimeconfirm hilo. Je iran anachokitafuta atakipata? https://www.bbc.co.uk/news/live/cn5ge95q6y7t?post=asset%3Aa853ff12-7157-47ec-9e43-37c88fd7eb07#post
  7. Funny boe

    Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

    Habari wakuu ..! Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao. Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu...
  8. I

    Algeria kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

    Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013. Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri wa anga, utalii, na usafirishaji wa mizigo kati ya mataifa hayo mawili. Mvutano katika uhusiano wa...
  9. figganigga

    DUBAI: Watanzania acheni kumnyanyasa Samia Suluhu, sasa amekutana na Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum😂😂

    Salaam Wakuu, Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya. Martha Mlata Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Kwamba Watanzania...
  10. The Father of All

    Nani wako kwenye msafara wa Rais Dubai? Au kuna sura tunafichwa tusijue uhusiano wao?

    Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
  11. britanicca

    Kwanini Mkuu wa nchi anajificha (katua Private Aiport huko Dubai) ndege ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetua kwenye private airport. Ushahidi huu hapa. Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe wazi Britanicca
  12. H

    Waziri kombo mgeni rasmi katika uzinduzi wa ofisi ya CRDB Dubai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema uzinduzi wa Ofisi ya Uwakilishi ya Benk ya CRDB Dubai ni kielelezo cha uhusiano mzuri wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia...
  13. H

    Waziri Kombo ashiriki katika ufunguzi wa Ofisi ya CRDB Dubai

    Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
  14. Godoro la kioo

    Jinsi nilivyotapeliwa kizembe na muuzaji wa ‘Simu used kutoka Dubai’

    Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29 Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""' Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi...
  15. I

    Meli zilizobeba silaha kutoka DUBAI zashambuliwa Yemen

    Saudia imezishambulia meli 2 za Falme za Kiarabu zilizokuwa zimebeba silaha za kivita kwa ajili ya kugawia waasi ili wauwe watu wasiokuwa na hatia huko Yemen. Inaonekana hawa DUBAI wao maslahi mbele uhai wa watu nyuma. ===== The Coalition to Support Legitimacy in Yemen on Tuesday said it...
  16. Traxtion

    Addis Ababa itakuja kuwa kama Dubai miaka 20 ijayo, sio kwa ujenzi huu aisee

    Huyu Prime Minister wa Ethiopia sio poa aisee. Leo nilikuwa naangalia hii video inaonesha jinsi Addis Ababa inavyokua kwa kasi in just short time Watu wanahamishwa uswazi wanapelekwa kwenye makazi bora, wanaongeza viwanda na uwekezaji kila kona, wanapanda miti everywhere, maghorofa yanajengwa...
  17. Fbn

    Dubai wamekuja na teknolojia ya ATM ROBOT inayotembea utakapoitaji pesa sehemu yoyote

    Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana. Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa. 😄 Kibongo itakuwaje ikaitwa uswahilini si wanaikaba huko huko.
  18. Fbn

    Dubai imejengwa kwa pesa haramu zote za dunia

    Mnaweza kubisha ila Airport ni geresha kusema ndio imejenga jangwa. Mafuta nakataa kabisa maana yaligundulika siku nyingi kabla ya dubai. Matapeli,human trafficking,pesa chafy,udukuzi na kila jambo unalofahamu dili zote ni dubai. Hush pup yule mnaijelia alikuwa anaishi dubai. Utakatishaji wa...
  19. Mafyangula

    GE2025 Baba Levo: Naenda Dubai kuzungumza na taasisi, kufufua soko la ujiji

    Mtu unakwenda kwaajili ya Starehe zake anasingizia kutafuta wafadhili:3Heading: hata ubunge ujaupata =============== Miongoni mwa sababu kubwa zinazo mpeleka Dubai ni pamoja na kuzungumza na baadhi ya Taasisi kwa ajili ya uwekezaji mkubwa katika Soko la Ujiji liliopo Jimbo la Kigoma Mjini...
  20. R

    Haya ni manyangau, hayana hata aibu/haya/soni. Yamesha jilimbikizia mali Dubai likitokea la kutokea yanakimbilia huko na familia zao. What next?

    Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha. Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki. Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second Indepencence/liberation strugle!?
Back
Top Bottom