dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia asizibe masikio dhidi ya kelele za watanzania kupinga kifungu cha 23(4) cha Mkataba wa awali wa DP World ambacho ni cha kitumwa

    Waziri Mkuu, Cassim Majaliwa, alitoa hotuba zuri kuwaalika watanzania kutoa mawazo kuhusu mkataba wa DP World ili serikali iyapokee na kuyachambua. Lakini sasa ni kama bosi wake anamkana. Jana, Rais Samia akiwa anazungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la...
  2. B

    Bora Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kuliko Waarabu wa DP World

    Baada ya kudodosa dodosa mikataba ya makampuni ambayo yamejikita katika uwekezaji wa Bandari, nimeona na nimejiridhisha kabisa kwamba, masharti ya Wachina kwa Bandari ya Bagamoyo, yalikuwa nafuu kuliko hawa jamaa wa DP World. Zifuatazo ni baadhi ya sababu zilizonifanya nifikie maamuzi haya: 1...
  3. S

    Ujio wa DP World vikampuni uchwara vya clearing and forwarding, malori na bandari kavu njooni mlime matikiti

    Ufisadi sasa baaasi! Vikampuni uchwara vyote violivyokuwa vinachota hela kijanjajanja hapo bandarini sasa tafuteni mashamba mje mlime matikiti.. Mwarabu anakuja kuziba mianya yote ya uhuni, wizi na utapeli hapo bandarini
  4. USHAURI: Idara zote za Maji tuwape DP World kuongeza ufanisi

    Tumewafukuza wamasai Loliondo ili kuwapa waarabu kupaendeleza, tupo kwenye hatua za mwisho kuwapa DP World bandari zote za Tanganyika kuziendeleza, kuna tetesi kuwa misitu yote pia tumewapa watusaidie. Nashauri tuwape wizara ya maji na wizara ya nishati ili watusaidie pia kusambaza maji ya...
  5. Mkataba kati ya DP world na TPA hauna tatizo lolote ila kuna baadhi ya ibara zinatakiwa zifanyiwe mareboresho mfano ibara ya 23

    Nimeusoma mkataba wa bandari kuna mapungufu machache tu yanayoweza kurekebishika. Watanzania tuondoe wasiwasi tushauri kwa lugha nzuri. Mfano kama ikiwezekana ibara ya 23 ingefanyiwa maboresho ili isituminye sana. Ibara inasema hivi: ARTICLE 23 DURATION AND TERMINATION 1. Subject to paragraph...
  6. Hakuna Uuzwaji wa Ardhi Mkataba wa DP World na Tanzania

    MHE. ELIBARIKI KINGU - HAKUNA UUZWAJI WA ARDHI MKATABA WA DP WORLD NA TANZANIA "Tukiwa kama wabunge tuna nafasi ya kusema vitu vinavyotoa muelekeo wa nchi. Mafanikio tunayoyazungumza ya Serikali ya awamu ya sita nyanja za Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa kwa dhati ya moyo niseme Waziri wa Fedha na...
  7. K

    Kwanini MOU za DP world za hivi ni kwa Africa tu. Uingereza mbona hawana!

    https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade Ni nchi za Africa tu ndiyo tuna sign MOU za ajabu . DP world ipo Uingereza watuonyeshe MOU yao. Wenzetu wa African wapo kwenye makesi
  8. R

    Ogopa viongozi wanaoamini suala la DP World nalo litapita

    Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine. Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time . Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na...
  9. K

    DP world nia ni kuzuia na sio faida

    DP world nia yao kubwa ni kuzuia Tanzania huko mbele isiwe transit ya makontena na mizigo. Nia yao sio kupata faida. Hii ndiyo sababu ya kuweka zuio la badari nyingine ambazo haziwahusu. Nashauri Tanzania iajiri consultants kama McKinsey ambao wanaelewa strategies za nchi na sio wabunge pekee...
  10. M

    Angalizo: Sio Watanzania tu, hata Waingereza wameikataa DP World

    Ilifukuza kazi wafanyakazi 800 bandarini Uingereza kwa mkupuo bila kufuata taratibu Iliajiri vibarua toka nje ya Uingereza na kuwalipa ujira mdogo kinyume na sheria Manamba na vibarua wa Tanzania wajiandae kulipwa kiduchu Hisia: Waingereza wanasema rushwa imeibeba DP World...
  11. Kuhusu DP World, umemsikia huyu Mbunge??

    Hii ni video ndefu tu, Ina maswali mengi Kuhusu majibu. Kama una bando unaweza kusikiliza ila Kwa kifupi ni kwamba kulikua na Mambo mengi sana yalifanyika kienyeji mno. Kumbe Kuna wabunge walisafirishwa kwenda DUBAI bila kujua kilichowapeleka! Bunge la CCM limekua genge la Wahuni kiasi hiki...
  12. M

    Taifa limepoteza muelekeo, binti aliyepotea anasakwa na vyombo vya usalama vya nchi mzima huku Dp world wakipigiwa debe kwa nguvu

    Kwa hiyo siku hizi vyombo vya usalama ndani ya kata, wilaya na mkoa haviwezi kufanya majukumu yao? Kwa ishu ndogo kama kupotea mwanafunzi Msukuma amegeuka kuwa mpiga debe wa Dp world Watu wanasahah mambo ya msingi kama kujadili bajeti. Alafu tunaambiwa Mwigulu ni waziri bora hajawahi kutokea.
  13. Kwa Mfano hawa ni DP World ndo wawe wanalipa mishahara ya Watumishi. Nani awapinge?

    Labda ndo iwe hivyo. Enhee!? Mtafanyaje? Ok.. labda tuseme hawa DP World ndo wamewezesha madaraja kupandishwa.. au hata ajira mpya.. mtafanyaje!? Na wale wabunge mnafikiri wako kapa? Kwani Watanzania hatuwezi kuwaza kwa Sauti?
  14. K

    LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

    Hawa LATRA wa Makambako naona wamekaa kituoni Makambako kukata faini za 250000. Hawana huruma na wafanyabiashara kabisa.Gari ikienda Mbeya na kurudi hesabu yake ni 150000. Wenyewe wanamkatia mtu faini tatu mbili huku wakitishia kufungua magari Tena kwa vikosa vidogo vidogo kama mkanda haufungi...
  15. E

    Watanzania tupinge siasa za kinafiki. Anayesema no DP WORLD aseme sasa

    Kuna watu wanasoma upepo, akiona ugali uko kwenye wanaosema YES wakati mawazo yake ni NO anakaa kimya kama hayupo. Siku akiona upepo umebadilika anabadilika na kuanza kusema NO. Lazima tujenge watanzania katika kusimamia kile wanachokiamini. Ukiamua kusema NO sema no kwa hoja na ukiamua...
  16. Kwanini DP World wamewakimbia watangazaji? Mpemba huyu ni msemaji wa DP? Hawa waandishi warudishe hela za watu?

    Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania! Maswali makubwa mawili yakikuwa! 1. Mkataba ni wa muda gani? 2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu? Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji...
  17. Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023. ====== Leo Juni 10, 2023, Bunge la...
  18. H

    Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

    UTANGULIZI: Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile. Ni...
  19. Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  20. Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…