Jana Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto, Dk Dorothy Gwajima,aliagizwa kukamatwa na kuhojiwa kwa Askofu Dk Gwajima, kwa madai ya kutuhumu uongozi wa juu wa nchi kupewa fedha na wafadhili kwa ajili ya kuruhusu chanjo zitakazowadhuru watanzania
Kuna shutuma nyingi amezitaja...