dorothy gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mapokezi chanjo ya Corona: Ni wakati sasa kutazama utendaji wa Waziri wa Afya

    Nimeliona Bango la mapokezi ya chanjo ya Corona uwanja wa ndege wa J.K Nyerere. Kwanza nilicheka sana baadaye nilipoanza kufikiria juhudi za kupambana na Ugonjwa huu tangu wakati wa mashine za kupigia nyungu na zilivyozinduliwa kwa Mbwewe. Sasa najiuliza hii chanjo imeshaanza kutumika hapa...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Maambukizi ya COVID-19 yapo, wasiochukua tahadhari waitikie wito

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameshatoa maelekezo kila mtu avae barakoa kwenye mikusanyiko, hivyo watu wachukue tahadhari. “Kasi ya wagonjwa kuendelea kujitokeza na kulazwa kwenye hospitali zetu inaashiria...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Katika mapambano ya Corona adui namba 3 alikuwa Dkt. Gwajima, anasubiri nini kujiuzulu?

    Nadhani sasa hatua zinazochukuliwa na Serikali dhidi ya Corona mnazisikia. Lakini katika awamu ilipita hali ilikuwa tofauti kabisa, Serikali ilitelekeza jukuma la kulinda raia wake. Licha ya kuwapa ushauri lakini waliziba masikio Nchi imepoteza rasilimali watu wengi mafungu kwa mafungu kutokana...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Dorothy Gwajima amesema ukitaka kumchapa mtoto umuombe ruhusa. Hili linawezekana vipi?

    Wanajamii forums, nisiwachoshe nimekutana na hili tamko la waziri afya Dr Gwajima ya kwamba ukitaka kumchapa Mtoto muombe ruhusa Kwa sababu ana haki zake. Nikabaki najiuliza kwamba nikitaka kumwadhibu mwanangu nimuite fulani njoo, alafu Kisha nimwambie mwanangu naomba nikuchape, akikataa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Iramba ni nyumbani kwa Mawaziri watatu lakini inazidi kudorora!

    Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo. Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kuanza kutoa huduma ya upandikizaji wa mimba (IVF)

    Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo. Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
Back
Top Bottom