mkalamo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 323
- 346
Jana Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto, Dk Dorothy Gwajima,aliagizwa kukamatwa na kuhojiwa kwa Askofu Dk Gwajima, kwa madai ya kutuhumu uongozi wa juu wa nchi kupewa fedha na wafadhili kwa ajili ya kuruhusu chanjo zitakazowadhuru watanzania
Kuna shutuma nyingi amezitaja Waziri Gwajima, haijalishi iwe ni sawa au si sawa dhidi ya Askofu Gwajima.
Baada ya muda IGP Sirro akanukuliwa na vyombo vya habari kwamba hawawezi kutekeleza agizo hilo la waziri,bila ya kupata barua ya malalamiko.
Kwamba Waziri Gwajima aorodheshe vile anavyoona ni makosa kutoka kwa Askofu Kakobe,kisha Polisi wajiridhishe ndiyo watatekeleza agizo lake.
Kwamba kwa mtazamo wa IGP na jeshi lake yanayoendelea sasa si kosa bali ni halisi juu ya tuhuma zilizotolewa na Askofu Gwajima kwenda kwa uongozi wa nchi.
Kwamba kwa kuhitaji barua IGP Sirro anatuambia mbali na kauli za Gwajima hata yeye anaamini chanjo zilizoingizwa zina mushkeli na waliotajwa na Gwajima kuchukua mlungulu ili watuue,tuwe mazombi ni kweli hawaifikirii Tz badala ya matumbo yao.
Kwamba ni kweli viongozi walioonyesha kuchanja hadharani hawakuchanjwa chanjo halisi kama inayosambazwa kwa Watz wanaotakiwa kuuawa kwa chanjo hiyo.
Kama sivyo anavyoamini IGP basi atakuwa amemfanyia kiburi waziri Gwajima na mamlaka iliyomteua waziri huyo
Kwanini niseme hivyo?
Patrobas Katambi,naibu Waziri wa vijana akiwa katika Moja ya mikutano yake jimboni,alitofautiana lugha na mwananchi mmoja,na akaagiza akamatwe pale pale na akakamatwa ila IGP hakutaka barua kutoka kwa Katambi
Nawaza Hawa wakiendelea kuwa pamoja kama watendaji na wateule wa Rais iko siku watakataliana kutekeleza masuala muhimu ya nchi tena hadharani kama hivi na sisi tuendele kushangaaa