donald trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a bachelor's degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. Trump later started various side ventures, mostly by licensing his name. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. Despite being disfavored in most forecasts, he was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump has pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He recognized Jerusalem as the capital of Israel, imposed import tariffs triggering a trade war with China, and started negotiations with North Korea toward their denuclearization.
A special counsel investigation led by Robert Mueller found that Trump and his campaign welcomed and encouraged Russian foreign interference in the 2016 presidential election under the belief that it would be politically advantageous, but did not find sufficient evidence to press charges of criminal conspiracy or coordination with Russia. Mueller also investigated Trump for obstruction of justice, and his report neither indicted nor exonerated Trump on that score. A 2019 House impeachment inquiry found that in the Trump–Ukraine scandal, Trump solicited foreign interference in the 2020 U.S. presidential election to help his re-election bid, and then obstructed the inquiry itself. The inquiry reported that Trump withheld military aid and a White House invitation in order to influence Ukraine to publicly announce investigations into Trump's political rivals. On December 13, 2019, the House Judiciary Committee approved two articles of impeachment: abuse of power and obstruction of Congress.
On December 18, 2019, Trump became the third U.S. President in American history to be impeached by the House of Representatives. A Senate trial is pending.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Trump ataka Bajeti ya kijeshi ya $1.5 Trillion mwaka 2027, kutoka $901 Bilioni mwaka 2026

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema bajeti ya kijeshi ya Marekani kwa mwaka 2027 inapaswa kuwa dola trilioni 1.5 (sawa na takribani Shilingi za Tanzania trilioni 3.6 ), ikiwa ni ongezeko kubwa kutoka dola bilioni 901 (sawa na takribani Shilingi za Tanzania trilioni 2. 23) zilizoidhinishwa na...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani yaituhumu Rwanda kukiuka makubaliano ya Amani ya DRC yaliyosainiwa Washington

    Serikali ya Marekani imeishutumu Rwanda kwa kutotekeleza kwa uaminifu makubaliano ya amani yaliyotiwa saini Washington yanayolenga kuishia machafuko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ikisema wazi kuwa vitendo vya Kigali vimekuwa ni ukiukwaji wa makubaliano hayo yaliyofikiwa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maria Corina Machado: Nitampa Donald Trump Tuzo yangu ya Amani ya Nobel

    Kiongozi wa upinzani wa Venezuela aliyeondolewa madarakani, Maria Corina Machado, amemwambia Sean Hannity kuwa anataka kumpa Donald Trump Tuzo yake ya Amani ya Nobel baada ya Rais huyo kukataa kumuweka yeye kama kiongozi ajaye wa Venezuela. Vyanzo vilivyo karibu na Rais vinasema kuwa awali...
  4. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Historia ni Albamu ya Zamani, Hata hii ya Marekani kukamata Marais wa nchi nyingine si picha ngeni

    Historia ni kama albamu ya zamani; hakuna kitu kipya, ni picha zinazojirudia. Hata kukamatwa kwa Nicolás Maduro na Marekani wala si suala geni kihivyo. Kurasa zote za habari hivi sasa zinafuatilia kilichotokea Venezuela. Wengi wameliona tukio hili kama la kushangaza baada ya Rais wa Marekani...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Donald Trump, Samia Suluhu alikuita "WHO ARE YOU?"

    Wakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku mkimtaka ntatoa Ushirikiano.. Yaani mtamkamata kama kuku wa Kisasa.. Naye anatakiwa apokee unyakuo...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Trump amesema ataisimamia venezuela huku upigaji, ufisadi na mauwaji ukikomeshwa

    Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela na kushusha gharama za maisha kwa wananchi kwa uwiano. ikumbukwe Marekani hakuna upigaji wa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akutana na Rais wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Marekani alipoulizwa kama Iran utaendelea na mpango wake wa Nuclear na makombola itazhambuliwa? Trump Ali jibu kwa makombola ndiyo atashambuliwa lakini kwa Nuclear atashambuliwa harakati sana!!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ilhan Omar mwanaharakati anayepambana dhidi ya ubaguzi wa Trump kwa wasomali Marekani

    Huyu bi dada ni mmoja wa wanaompa msongo wa mawazo Rais Trump ------------ Ilhan Omar ni mwanasiasa mashuhuri wa Marekani, mbunge wa chama cha Democratic-Farmer-Labor (DFL), akiwakilisha Jimbo la 5 la Minnesota katika Bunge la Marekani. Alifanya historia kama mmoja wa wanawake wawili wa kwanza...
  9. U

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Donald Trump, Rais wa Marekani amuwakia Bi Samia Suluhu Hassan

    https://youtu.be/d0zp2chByrs?si=GvUT8x8IEbXPIXTl
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange amwandikia barua Trump kuhusu kufungwa kwa akaunti zake na Meta baada ya kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa baada ya kuzitumia kufichua ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania, huku akihimiza...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na kutoa taarifa zenye kuleta taharuki ,kuchafua watu, taasisi, Nchi,jumuiya na hata vyama vya kisiasa...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Vita Marekani: Wizara inajiandaa kushughulika na mauaji ya Wakristo nchini Nigeria

    Anaadika Peter Hegseth, Waziri wa Vita wa Marekani kupitia ukurasa wake wa X: "Kuua Wakristo wasio na hatia nchini Nigeria na mahali popote kunapaswa kuisha mara moja. Idara ya Vita inaandaa hatua. Ama Serikali ya Nigeria itawalinda Wakristo, ama tutawaua wanamgambo wa kiislamu wanaofanya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tutume delegation kwenda kwa Trump

    Tueleze madhira tunayopitia atusaidie. How? That will be our debate! Karibu kwa kila kitu, hoja, matusi, hoja mfu na ushenzi wowote
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump awaonya tena Hamas

    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Picha ya Trump aliyoichukia zaidi mwenyewe

  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump awasili Israel

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametua nchini Israel kupitia uwanja wa ndege wa Ben Gurion, ambapo amepokewa na Rais wa Israel, Isaac Herzog, pamoja na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Trump amewasili kwa ndege ya rais ya Marekani, Air Force One, katika ziara yake ya kimataifa, huku tukio hilo...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Sidhani kama nitaenda Mbinguni

    Rais wa 47 wa Taifa la Marekani, Donald John Trump (79) ameeleza mashaka yake ya kuingia mbinguni ambapo amesema hana hakika kama kuna kitu kinachoweza kumfanya aingie mbinguni ila ana uhakika amesaidia maisha ya watu wengi. Trump alisema hayo akijibu swali la mwandishi wa habari aliyemuuliza...
  18. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Donald Trump athibitisha Diddy kuomba msamaha wa Rais

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba rapa na mfanyabiashara maarufu Sean “Diddy” Combs amemuomba msamaha wa rais kufuatia kesi yake ya jinai ya shirikisho. Trump alitoa kauli hiyo akizungumza kuhusu watu mbalimbali ambao wamemwomba msamaha, akisema: “Nimepata watu wengi...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump alazimisha kushitakiwa kwa aliyekuwa mkuu wake wa zamani wa FBI, James Comey

    James Comey mkuu wa zamani wa FBI ambaye katika kipindi chake Trump alichaguliwa rais kwa mara ya kwanza sasa atafikishwa mahakamani baada ya muendesha mashitaka chawa wa Trump aliyepachikwa muda mfupi kukubali maelekezo kutoka juu kumfungulia kesi. Muendesha mashitaka mwingine mzoefu wa muda...
Back
Top Bottom