Sasa wewe unatakaje na Ili iweje sasa wee Kobaz mwandamizi.Trump kazaliwa mambele bahati mbaya Hana dogo anagonga mipasho tu.
Angekuwa Africa, lazima angekuwa rais, rais dikteta kabisa...Trump kazaliwa mambele bahati mbaya Hana dogo anagonga mipasho tu.
Wangewambia wenye gazeti wasisambaze na walishushe kwenye kwenye mtandao.Ila huyu mwamba namkubali sana 😂
Ingekuwa Bongo, mama yenu asingesema jambo, mngesikia tuu mwandishi kalala mbele 😂
Awe kama Mwamba Putin hana kuropoka hovyo pamoja na vijembe .Sasa wewe unatakaje na Ili iweje sasa wee Kobaz mwandamizi.
Maarassmbusii